Ditto Mwenyekiti mpya Bodi ya Korosho?

Jamani jamani, wakati tunashangaa haya ya Dito, plz tuwe tunakumbukakumbuka Balali, It seems kama vile jamaa ndio tunamsahau hivyo.

Nyambala, huyu Balali bado anasubiriwa tu na wapiganaji wanafuatilia nyendo zake kwa karibu sana popote pale alipo. Kinachosubiriwa ni kile ambacho Kikwete atafanya maana kama unakumbuka baada ya report ya E&Y, Kikwete aliunda tena tume ya kuchunguza kilichochunguzwa (rudia hili mara kumi) na kuwapa miezi sita (soma miaka sita). sisi tuko naye tu hapa... tik tak tik tak......
 
......ni nchi gani ambayo mtuhumiwa ...tena wa mauwaji mwenye kesi mahakamani anakuwa presidential appointee....

Bila shaka, jibu lako ni Tanzania!
Watakwambia huyu ni mtuhumiwa, si mhalifu.
Hajahukumiwa na mahakama bado.
 
Back
Top Bottom