TANZIA Ukiwaona Ditopile afariki dunia

rest in Peace Dito.
ni kada mzuri wa CCM pengo lako kubwa, ulicheka na kila mtu hata sisi watu wa bara.
 
taarifa ya msiba mizito tumeipokea ila tunaomba utupe picha ya marehemu Kalumuna kama ambavyo umetuwekea picha ya marehemu Dito itakuwa ni vyema kwani wengine hatumfahamu.
natoa pole kwa wafiwa. Mwenyeezi Mungu awape subira inshaallah
 
rest in Peace Dito.
ni kada mzuri wa CCM pengo lako kubwa, ulicheka na kila mtu hata sisi watu wa bara.
LoL...

I like this nungwi... Nice prayer buddy.

Mi naamini "Mwosha - huoshwa"

Mungu amfikishe anapostahili...

Heaven? I have no objection...

Hell? Kama ni haki yake nako ni vema tu.
 
hatima ya dito.jpg
Rais Jakaya Kikwete akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora marehemu Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, huko Kinyerezi Nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam leo.
 
Mimi napata kichefuchefu ninaposikia Dito alikuwa mzalendo, mchapakazi na mtu wa watu. Hebu nisaidie japo sio vizuri kudiscuss marehemu. Ni jema lipi alilifanya mpaka. Nijisikie tumepoteza mtu?
 
dito na jkn kigoma.jpg

enzi hizo mzee Ditto alipokuwa mkuu wa mkoa aliotoka mbunge wa chadema Zitto akiwa na Baba wa taifa kwa sasa wote wawili weshatangulia mbele ya haki
 
Invisible...
line ya Mungu amfikishe panapostahili ingetosha kuwa mchango wako...
line ya Mwisho ya Hell...Haijatulia...pamoja na Baya la kuuwa either kwa kukusudia au bila kukusudia bado kwa kipindi alichokuwa hai alikuwa na Nafasi ya kutubia kwa MOLA wake!!! ... Mara nyingi tunaambiwa tukumbuke Mema ya Maiti zetu na kuwaombea DUA njema.
 
JF tuna tatizo la double standard. Baada ya kuuwa yule kijana Mbonde, Ditopile aliandikwa sana hapa, na wengi kwenye post zao walimpotray kama shetani hivi. Leo hii hao hao wanataka tuamini kuwa Dito alikuwa malaika! Kweli!
 
...Yoooote ni nguvu za shetani ndugu zangu kama aliua kwa kukusudia au la ndio limeshatokea nina imani ktk nafsi alijutia... Tuwaombee wote Dito na Mbonde mungu awaondolee adhabu ya kabri...Kufa ni wajibu kwetu sote tatizo ni jinsi ya kufa...
 
Back
Top Bottom