Mtu Mzima
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 394
- 124
habari ni kweli ila baba h kuwa na utu ss sio mahakimu cha msingi ni kumtakia mema mwenzetu sisi tiko kwenye safari na hatujajua mwisho wetu utakuwaje.
tumuombe mola atupe mwisho mwema hilo ndio la kuomba na sio kufurahia na kukejeli msiba wa mwenzetu
Kifo cha Ditto hakiwezi kumrejesha yule dereva duniani au kufuta hasira za wanyonge dhidi ya upindishwaji wa makusudi wa sheria ili kumlinda.
Vivyo hivyo kumshambulia Marehemu Ditto (Kama kweli kafa) hakuwezi kubadili hayo yaliyojitokeza sana sana itaonyesha wale walioshiriki kudhulumu haki ya Dereva wa daladala ambao bado wapo hai kuwa kitendo walichofanya hakikuwa cha kiungwana na kiliwakera wengi
Kufa kwa Ditto si kitu cha ajabu wala si topiki ya kujadiliwa hata sasa hivi tunapojadili hapa watu wengi tu wameshakufa ila kinachofanya watu wajadili hapa wanamjadili kama kiongozi aliyestahili kuwa kioo cha uadilifu na si kama mtu binafsi
Huyu si mtu wa kwanza kujadiliwa hata viongozi wakuu waliojijengea heshima kama Julius na Abeidi Karume wanajadiliwa hadi hivi sasa
Kujadiliwa kwa kiongozi katika jamii kwa mwelekeo hasi au chanya inategemea na mchango wake katika jamii husika.