Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah hiii ni nomaa, Mungu yangu wangu maisha haya mpaka lini.
 
Matatu yalitua jirani kabisa na makani kwangu, tunashukuru Mungu tuko salama.
 
Jamani tutaendelea kua watumwa ndani ya nchi yetu mpaka lini??
Mbagala walisema ni ajali na hii je ???
Bila kuwajibishana hakutakua na heshima ndani ya nchi hii wala kuthamini utu wa watu....yaani watu wamepoteza maisha katika mazingira ya ajabu namna hii bado waziri anangangania madaraka???
Parapanda imelia jamani twendeni barabarani la sivyo hatutakaa tutoke kwenye huu ukandamizajia wa viongozi wazembe.
 
Inasikitisha lakini tusipuuze kuwa yawezekana ni UGAIDI kwani hii ni mara ya 2 katika kipindi cha mwaka 1 tu,mbona Mbagala,Gongo la Mboto tu ina maana hayo mabomu yako huko tu?kwanini isiwe Ngerengere,au SOFA ARUSHA au DODOMA au MZINGA hili ni jambo la kuchunguza sana inawezekana kabisa wanaojitoa muhanga wapo JWTZ
 
I strongly need and support whoever demanding resignation of General Mwamnyange and Hussein Mwinyi. If they cannot resign the President should fire them, otherwise, we the people should force the President to FIRE THEM IMMEDIATELY

Or Him to resign
 
Another reason to DEMAND the MoD Dr. Hussein Mwinyi resign or FIRED immediately!

Otherwise....

Lets discuss mechanisms that we can do to make sure that Mwinyi Resigns or get fired. Together with mwamunyange. The same people, the same problems. They have no humanity!!
 
Hivi hizi picha zimetoka kwenye magazeti yetu au ni humu humu JF. Nafikiri wananchi walitakiwa kuona jinsi madhara yalivyokuwa kuliko kuambiwa tu ni raia 30 wamekufa na hakuna askari aliyepoteza maisha.
 
Inasikitisha lakini tusipuuze kuwa yawezekana ni UGAIDI kwani hii ni mara ya 2 katika kipindi cha mwaka 1 tu,mbona Mbagala,Gongo la Mboto tu ina maana hayo mabomu yako huko tu?kwanini isiwe Ngerengere,au SOFA ARUSHA au DODOMA au MZINGA hili ni jambo la kuchunguza sana inawezekana kabisa wanaojitoa muhanga wapo JWTZ

umemaanisha nini unaposema wanaojitoa muhanga?
Wanajitoa muhanga halafu wenyewe wanapona!! Inakuwaje hapo?
Kuna mdau mmoja humu alisema mabomu ya tangu miaka ya 70 kama yaliletwa ina maana hata mikoa mingine ina stock hiyo hiyo. Sijui nini kitafatia.
Hawa watu wanatuua huku tunajiona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom