Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

I strongly need and support whoever demanding resignation of General Mwamnyange and Hussein Mwinyi. If they cannot resign the President should fire them, otherwise, we the people should force the President to FIRE THEM IMMEDIATELY
It appears many people seem to to be blind of the real cause of all these....the underlying cause is nothing but the institutionalised corruption masterminded by a bunch of greedy politicians known even by kindergatten kids, ganged up by hopeless but selfish CCM stalwarts and their hench men placed in sensitive position in the government circles....with one mission at hand...TO MAKE THE STATE to become both UN - GOVERNABLE and un-popular!!! HOPING that come 2015..the presidency shall be theirs. Thus it may be logical to conclude that exposing these perpetrators and to deal with them accordingly is one of the formidable solution of our current problem!! thats my take!
 
This is too costly to look at!...
Nawalaani sana wanaoendelea kukalia nafasi zao wakati idara zao zimethibitika kufanya uzembe!
Kwanini lakini?

Mkuu PJ,

Hapo kwenye Red, tatizo siyo wao tatizo ni yule aliyewateua kuongoza idara hizo. Kumbuka Mwl Nyerere kwenye kitabu chake cha "Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania" alisema hivi..... nanukuu "..na iwapo Waziri Mkuu (JSM) atakataa kujiuzuru nafasi yake hiyo ya Uwazi Mkuu, tatizo halitakuwa yeye bali yule aliyemteua yaani Rais (AHM)." Mwisho wa kunukuu. Hata hapa kwa tukio hili la Gongo la Mboto, tatizo halitakuwa kwa Waziri wa Ulinzi na Mkuu wake wa Majeshi bali kwa Rais aliyewateua.

Mkuu PJ, kwajinsi navyomfahamu mkuu wa kaya hii (JK), hana ubavu wa kumfukuza kazi mtu achilia mbali Waziri kwenye serikali yake bali hata Mkuu wa Wilaya tu.

Pengine hatimizi wajibu wake kwenye mambo ya msingi kwasababu labda haya yanayofanyika sasa ni MAKAFARA, na yanamtaka awekimya!!

Iko siku historia itamhukumu...
 
Dr. Wilbrod Slaa
Tunafuatilia kwa karibu matukio ya milipuko ya ghala za JWTZ huko Gongo la Mboto. Ni wazi kuwa licha ya madhara ya uharibifu wa mali kutakuwa na madhara katika maisha ya watu na makazi yao. Wakati huu si wa kutupiana lawama na shutuma bali ni wakati wa kuja pamoja kama Taifa kuhakikisha kuwa hali inatengemaa na maisha ya wananchi wetu yanarejeshwa katika utengemau mapema. Poleni wahanga wa GlM
 
Ukiwa na Rais mwenye kuchekacheka na kukenua meno kwenye majanga makubwa kama haya ujue kuwa haoni uchungu, halafu huku nyuma analipongeza jeshi sijui kwanini analipongeza either sababu ya uzembe wao au ni kitu gani hapo ndio unaona hakuna lolote zaidi ya kuendekeza ushikaji usio na msingi wowote ule
 
Sadly, no one will be held accountable, hata kwa kutuzuga tu!!!

Nilidhani Bunge la JMT lingekuwa la msaada kwetu hata kwa kukemea tu. Badala yake Spika Anna amehakikisha hakisemwi wala kujadiliwa kitu. Hili nalo litapita kama mengine mengi. Nadhani Lowassa anajutia sana uamuzi wake wa kujiuzulu wakati ule.
 
Mkuu mimi sioni tatizo aingie mpagani nafasi hii ama Mwislamu hata Mkristo, nia ni HUYU jamaa aondoke. Enough is enough, vinginevyo watalazimisha tufike wasikotarajia twende. Wanatutafuta ubaya ambao hatustahili kuonekana nao.

If the president has got balls, he will immediately ACT!

The pain and anguish is unprecedented! Not after what had happened in Mbagala which could have taught a lesson or two on disaster prevention! Im deeply pained... words cannot explain.....

when will we ever learn?????
 
Duh nimelia sana lakini bado haisaidii
Inatakiwa watu wawajibishwe kabisaaa
 
Mkuu mimi sioni tatizo aingie mpagani nafasi hii ama Mwislamu hata Mkristo, nia ni HUYU jamaa aondoke. Enough is enough, vinginevyo watalazimisha tufike wasikotarajia twende. Wanatutafuta ubaya ambao hatustahili kuonekana nao.

If the president has got balls, he will immediately ACT!

He doesn't have one, sorry to say that. Inatia uchungu.
 
Kauli za kina makamba utazijua tu.........!!
Hommie Serikali hii ya huyu Sharobaro lolote zuri watalihusisha na CCM na kusema lilikuwa kwenye ilani yao likitokea jambo baya wanaruka mita mia wanakwambia hapo CCM inahusika vipi nyambafff zao!!!!!
 
Mungu sikia kilio chetu!!
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh!!!
 
Kuna wazo zuri sana litakalo sadia kupunguza ulipukaji wa mabomu yaliyokaa muda mrefu,ya kwanza tuingilie vita za nchi nyingine za kiafrika zenye mapigano kama tulivyoingili visiwa kiongozi ambaye ni DJ,ikishindikana tuombe vita ya kirafiki na majirani zetu wanaojifanya kupendapenda vita,kama burundi,kongo DRC,Rwanda na wengine ambao tunaweza kupigana nao vita ya kirafiki kuliko yatulipukie wenyewe eti yamekaa sana,je vita ya kirafiki tuombe na nani?
 
Mkuu PJ,

Hapo kwenye Red, tatizo siyo wao tatizo ni yule aliyewateua kuongoza idara hizo. Kumbuka Mwl Nyerere kwenye kitabu chake cha "Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania" alisema hivi..... nanukuu "..na iwapo Waziri Mkuu (JSM) atakataa kujiuzuru nafasi yake hiyo ya Uwazi Mkuu, tatizo halitakuwa yeye bali yule aliyemteua yaani Rais (AHM)." Mwisho wa kunukuu. Hata hapa kwa tukio hili la Gongo la Mboto, tatizo halitakuwa kwa Waziri wa Ulinzi na Mkuu wake wa Majeshi bali kwa Rais aliyewateua.

Mkuu PJ, kwajinsi navyomfahamu mkuu wa kaya hii (JK), hana ubavu wa kumfukuza kazi mtu achilia mbali Waziri kwenye serikali yake bali hata Mkuu wa Wilaya tu.

Pengine hatimizi wajibu wake kwenye mambo ya msingi kwasababu labda haya yanayofanyika sasa ni MAKAFARA, na yanamtaka awekimya!!

Iko siku historia itamhukumu...
The Following User Says Thank You to Domhome For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Hommie Serikali hii ya huyu Sharobaro lolote zuri watalihusisha na CCM na kusema lilikuwa kwenye ilani yao likitokea jambo baya wanaruka mita mia wanakwambia hapo CCM inahusika vipi nyambafff zao!!!!!
Mi mijitu inayocheza na maisha ya watu sijui naionaje.....nnahasira sana mpaka nataka kupasua hii laptop!! They are Very CRAP
 
Mkuu mimi sioni tatizo aingie mpagani nafasi hii ama Mwislamu hata Mkristo, nia ni HUYU jamaa aondoke. Enough is enough, vinginevyo watalazimisha tufike wasikotarajia twende. Wanatutafuta ubaya ambao hatustahili kuonekana nao.

If the president has got balls, he will immediately ACT!
Hawezi ku-ACT. Hana sababu ya kufanya hivyo. Anamalizia miaka yake mitano kiulaini kabisa. Hatagombea. Hii ni sababu nyingine nzuri ya kuendelea kuichukia zaidi CCM na serikali yake
 
go14.jpg

Hii ndiyo Misururu ya magari na watu wakiondoka huko Gongo la Mboto na Pugu kama unavyowaona katika picha hii.

go13.jpg

Hawa hata ukiwaona nyuso zao zinaonyesha kwamba hawajui wafanye nini zaidi ya kuondoka wanakokaa.

go9.jpg

Hawa wanaondoka huko Pugu lakini hawajui wanakoelekea wanasema ni afadhali kufia mbali kuliko huko kwenye makzi yao

go7.jpg

Hili limedondoka katika nyumba ya Marcelina Thomas Kirenga ambaye nyumba yake imeteketea kabisa kwa moto huko Pugu Kajiungeni.

go3.jpg

Usafiri umekuwa ni washida hivyo watu watui wamekuwa wakipanda magari yoyote ilimradi wafike wanakonenda kama wanavyoonekana hawa.

go5.jpg

Hili kombora limedondokea maeneo ya Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni.
 
Another reason to DEMAND the MoD Dr. Hussein Mwinyi resign or FIRED immediately!

Otherwise....

Mkuu nchi yetu haina kitu kinachoitwa uwajibikaji. Nina uhakika kwenye hili hakuna atakayewajibika, na atakayewajibishwa.

Haiingii akili hata kidogo kutuambia kuwa walifanya ukaguzi siku 3 zilizopita na kuona kuwa kuko salama.

Ni bira wasichukuliane hatua lakini watuambie ukweli wa tukio lenyewe, otherwise tutajua wenyewe.
 
Sikuwahi kuipigia Kura Serikali ya CCM...ya kina Kikwete...utawala wa Nyerere sikua nimetimiza Vigezo...let CCM die forever...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom