Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

...Lawama zinakwenda pande mbili, kwa serikali kufumbia macho raia wakiendelea kujenga karibia na kambi za jeshi, na Raia wenyewe.

Haya madhara hayataishia kwa waliojenga karibu na maghala haya ya silaha, ....hata waliojenga bonde la Jangwani, ipo siku 'El Nino' au 'tsunami' litawachukua waliokuwamo na wasiokuwamo. Tuangalie mabadiliko ya hali ya hewa yanavyoathiri dunia, hususan yaliyotokea Australia.

Ujenzi karibia na kambi ya jeshi Lugalo, kambi ya jeshi Monduli, na hata ujenzi wa maghorofa marefu karibia kabisa na Makao makuu ya jeshi Upanga ni hatari kwa raia na jeshi pia.
Hapo nilipo-bold ni lame excuse. Shimbo alituambia mabomu yanaruka umbali wa kilomita kumi mpaka kumi na mbili. Ni wapi basi unadhani ni mbali na kambi ya jeshi ambapo tunapaswa kujenga makazi Dar es Salaam, kwa mfano?
 
Kuhusu hiyo picha ya mwisho ambayo Presidaa anamlisha mtoto......

_51307977_kikwete_ap.jpg

Niliona hii incidence live kwenye TV, MTOTO HUYU ALIPOLISHWA uji na JK alikataa katakata kuunywa... sijui huwa watoto wanahisi nini:mad:...

Nadhani kuna hali ya instinct mtoto anaipata anapoona mtu ambaye si mzuri kwake!

Kwa walioona watanisaidia kutafsiri ile hali!
 
I think resignation or firing minister wont do much justice.

This was negligence keeping explosions near densed area. We should demand him getting fired then taken to court !

Talking about learning from mistakes.

A grade 3 student could get a logic "Why can't government learn from their past mistakes which happend 10 months ago"

So a grade 3 student is smarter than our ministers?

Geez, we need to stand up agains these idiotic politicians!

Time we people get what we want, how many more lives can we spare?

Huzaifa
 
...Lawama zinakwenda pande mbili, kwa serikali kufumbia macho raia wakiendelea kujenga karibia na kambi za jeshi, na Raia wenyewe.

Haya madhara hayataishia kwa waliojenga karibu na maghala haya ya silaha, ....hata waliojenga bonde la Jangwani, ipo siku 'El Nino' au 'tsunami' litawachukua waliokuwamo na wasiokuwamo. Tuangalie mabadiliko ya hali ya hewa yanavyoathiri dunia, hususan yaliyotokea Australia.

Ujenzi karibia na kambi ya jeshi Lugalo, kambi ya jeshi Monduli, na hata ujenzi wa maghorofa marefu karibia kabisa na Makao makuu ya jeshi Upanga ni hatari kwa raia na jeshi pia.
jengo la exim tower karibu na wizara ya mambo ya ndani.....
 
sasa huyo mzee anamchekea nani hapo chini ..aaah watu wengine bana
 
Hivi lile Baraza la Usalama la Taifa aliloita JK jana lina akina nani vile? Wameamua nini juu ya hili?
 
Kuhusu hiyo picha ya mwisho ambayo Presidaa anamlisha mtoto......

_51307977_kikwete_ap.jpg

Niliona hii incidence live kwenye TV, MTOTO HUYU ALIPOLISHWA uji na JK alikataa katakata kuunywa... sijui huwa watoto wanahisi nini:mad:...

Nadhani kuna hali ya instinct mtoto anaipata anapoona mtu ambaye si mzuri kwake!

Kwa walioona watanisaidia kutafsiri ile hali!

instinct. that's all
 
hii inaumiza sana kuona, hili ni tukio la pili. Je, sehemu husika hawakujifunza kutoka na tukio la kwanza Mbagala? Je, kwenye sehemu nyingine ambazo zinahifadhiwa vifaa hivyo nini kifanyike isije ikatokea tana? Umakini zaidi unahitajika hapa ili kila mmoja awajibike inavyopasa.

WAHUSIKA nafikiri waangalie na kwingineko yasije yakatokea tena.
 
Sadly, no one will be held accountable, hata kwa kutuzuga tu!!!
 
Kuhusu hiyo picha ya mwisho ambayo Presidaa anamlisha mtoto......

_51307977_kikwete_ap.jpg

Niliona hii incidence live kwenye TV, MTOTO HUYU ALIPOLISHWA uji na JK alikataa katakata kuunywa... sijui huwa watoto wanahisi nini:mad:...

Nadhani kuna hali ya instinct mtoto anaipata anapoona mtu ambaye si mzuri kwake!

Kwa walioona watanisaidia kutafsiri ile hali!
Mtoto alisema sidanganyiki, yaani uniulie ndugu zangu, ubomoe nyumba yetu then uje hapa kunidanganya na kijiko cha uji? kafie mbali huko!!
 
Inatisha kwa kweli! wakati umefika viongozi wetu wakajenga utamaduni wa kuwajibika
 
Hivi lile Baraza la Usalama la Taifa aliloita JK jana lina akina nani vile? Wameamua nini juu ya hili?
Eti wameamua kuwa watgharamia mazishi na matibabu kwa wahanga then watawapa unbani familia zilizofiwa!!
So sad kucheza na maisha ya watu then unakuja na majibu mepesi hivi...!!
 
Kosa la nani kwanini Mwinyi?
Guys like you make me feel like puking. Hivi unaona picha kama hizo unaanza kuuliza kwa nini watu wasiwajibishwe? Heads should start rolling for this. Hiyo chain of command yote iliyosababisha mauaji haya ya raia lazima wawajibishwe. Watanzania wataendelea kuchinjwa mpaka lini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom