Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

Tanzania People's Defence Forces Chief of Staff Lt General, Abdulrahman Shimbo, has said that the army has no plan to relocate its military bases built in residential areas despite munitions debots explosions at Gongo la Mboto military base.

He said residents living nearby military camps shouldn't expect the army to be stationed far away from them, citing national security as the major reason why military bases are placed close to their neighborhoods.

Lt Gen Shimbo added that the Gongo la Mboto base has been where it is since 1971 and before residential house construction spread out towards it.

source; Home

...Lawama zinakwenda pande mbili, kwa serikali kufumbia macho raia wakiendelea kujenga karibia na kambi za jeshi, na Raia wenyewe.

Haya madhara hayataishia kwa waliojenga karibu na maghala haya ya silaha, ....hata waliojenga bonde la Jangwani, ipo siku 'El Nino' au 'tsunami' litawachukua waliokuwamo na wasiokuwamo. Tuangalie mabadiliko ya hali ya hewa yanavyoathiri dunia, hususan yaliyotokea Australia.

Ujenzi karibia na kambi ya jeshi Lugalo, kambi ya jeshi Monduli, na hata ujenzi wa maghorofa marefu karibia kabisa na Makao makuu ya jeshi Upanga ni hatari kwa raia na jeshi pia.
 
we are acquianted to see these drama happening in abroad, to our neigbhours, far east and elsewhere now they have knocked our doors, we are now facing the reality. In order to stop this the swahili saying SHOULD apply 'kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa' let the MoD be responsible and resign immediately.
 
Tumepoteza mali, makazi, wapendwa wetu na wengine tumekuwa na vilema vya maisha. Jana umekuja na mizaha yako badala ya kutafuta suluhisho unauza meno yako. Hizi ni picha zitakazo dumu kwenye kumbu kumbu zetu daima. Huyo dada amekufa vibaya sana. Mwili wake ulitawanywa na mabomu. Ukutani ni moyo wake na mkono na viatu vimetawanyika. Nyama zake zimesambaa kila mahali.

Kusaidia Kuzika na rambi rambi hazitotufanya tusahau machungu haya. Acha mizaha adabisha wazembe

Nakulilia Tanzania.

Rev.hiyo sentesi niliyowekea red ndio muhimu sana,haiwezekani watu wapoteze viungo namna hii halafu tunasema tutasaidia wahanga, maziko na kuwafariji wafiwa ilihali wazembe wapo wakijirusha na makuku ya kuchoma na samaki wa kupaka.

Wahusika wakuu wote hawatakiwi kuwapo kazini, Taifa hili jamani tunaleana hata kwenye makosa makubwa? Tuwe na utamaduni mtu akitia hasara kwa namna yoyote ile kichwa chake ni halali kufidia hasara hiyo wote wangewajibika kikamilifu yasingetukuta haya ya leo, baada ya Gongo la Mboto wamekuja na kauli gani tena? Hawajarudia ile ya mbagala kuwa tukio halitatokea tena?

Maana hizi ndio kauli zao huku mabomu mengine yakifukuta kutaka kulipuka katika kambi nyingine. Mkwere acha kucheka utachekwa fanya kazi.
 
hii kweli inatisha jamani..........

halafu anakuja na lugha za kejeli....''machungu yenu ni machungu yangu''!! msanii mkubwa huyu jk
 
_51307977_kikwete_ap.jpg

Tanzanian President Jakaya Kikwete in full smile at Amana hospital in the city.

chifu anachekelea tu
 
Kosa la nani kwanini Mwinyi?
Mkuu
Ni vizuri ukajaribu kuwa serious hasa watu wanapojadili issue nyeti kama hii inayogusa maisha ya watanzania walio wengi tena masikini.
Kama wewe unalijua tatizo unaweza kutueleza?
Au wewe unafikiri tatizo ni mabomu? La hasha, mabomu si tatizo tatizo ni watu, na hao ni akina nani? Basi hao ndio wawajibike.
 
This is too costly to look at!...
Nawalaani sana wanaoendelea kukalia nafasi zao wakati idara zao zimethibitika kufanya uzembe!
Kwanini lakini?
 
Ivii.. mwili uliokua na huo mkono uliyeyuka?...
Nahitaji elimu kidogo, mi ninavyojua bomu ni lazima lilipuliwe ndio lilipuke kama ilivyo bunduki ni lazima ifyatuliwe ndipo ifyatuke!... Sasa haya mabomu ya kiTZ mbn yanalipuka kwa bahati mby!?
 
inasikitisha sana na sielewi kwa nini hawa watu wasiachie ngazi , hawamwogopi hata mungu
jk nae ingekuwa nchi za magharibi angeachia ngazi

God bless us
 
Another reason to DEMAND the MoD Dr. Hussein Mwinyi resign or FIRED immediately!

Otherwise....

Mkuu utashangaa unaitwa mdini, mimi siko; nchi hii inahitaji moyo... wakosaji hawakosi sababu za utetezi
 
Kama wewe ni miongoni mwa waliolipigia kura CCM na ni mwathirika wa janga hili huna pole, 2015 utajua cha kufanya.

Kwa wale waliopoteza maisha kama huyu dada ninawaombea kwa Mungu hata kama waliichagua CCM. Inauma sana!
 
Mkuu utashangaa unaitwa mdini, mimi siko; nchi hii inahitaji moyo... wakosaji hawakosi sababu za utetezi
Mkuu mimi sioni tatizo aingie mpagani nafasi hii ama Mwislamu hata Mkristo, nia ni HUYU jamaa aondoke. Enough is enough, vinginevyo watalazimisha tufike wasikotarajia twende. Wanatutafuta ubaya ambao hatustahili kuonekana nao.

If the president has got balls, he will immediately ACT!
 
Mkuu mimi sioni tatizo aingie mpagani nafasi hii ama Mwislamu hata Mkristo, nia ni HUYU jamaa aondoke. Enough is enough, vinginevyo watalazimisha tufike wasikotarajia twende. Wanatutafuta ubaya ambao hatustahili kuonekana nao.

If the president has got balls, he will immediately ACT!

Hey Calm Down Invisible

Uchungu wenu ni uchungu wangu - Kikwete

Jamaa anajua sana kuweka mizaha kwenye mambo ya Msingi
 
Nilitegemea kumwona Mh. angekuwa akimlisha mtoto huku na yeye akilia, ha anacheka! inasikitisha sana nchi hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom