Display ya Nokia 5800

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Naombeni msaada kuhusu display ya simu yangu kujaa rangi na kutoonyesha kitu chochote kila ikiingia kwenye standby mode au nikiizima na kuiwasha mara nyingine inajaa rangi na kutoonyesha chochote. Wakati mwingine inabidi nitoe betri na lain kwa muda fulani afu nikivirudisha ndo display inakuwa sawa, na kuna wakati mwingine simu inapiga kazi bila tatizo lolote kwa siku nzima. Nifanye nini kusolve tatizo hili?
 
iyo 5800 inalensi ya mwanga juu ya hapo palipoandikwa xpressMusic iyo lensi imeanza kufa na ukitaka kuitest iweke kwenye mwanga wa jua itapiga kaz fresh,kadri siku zinavyoenda ugonjwa utazidi,pole
 
Kwa hiyo kuitengeneza ni hadi hiyo lensi ibadilishwe au ni kubadilisha display? Nilishauriwa ni downlodi standby clock. Nimeidownlodi, na kwa kiasi fulani tatizo limepungua, ila badala ya screen kuwa 'fuzzy', simu inajizima. Any help?
 
hapo lazima uibadilishe iyo lensi na ishu ni kuipata,labda upate fundi mwenye kama iyo au uende kwa original dealer wa nokia,kama upo arusha wapo
 
mimi ilishanitokea nikapeleka kwa fundi akanibadilishia display then ipo poa hadi sasa
 
mkuu mimi ilinitokea kwenye E52.. Hapo hamna mkato zaidi ya kubadilisha displey basi tatizo lako litakwishwa.!
 
mimi ilishanitokea nikapeleka kwa fundi akanibadilishia display then ipo poa hadi sasa

Samahani mkuu, hiyo display ni sh ngapi? Mi niko Moshi ila si mjini, kwa hiyo nikijua bei itanisaidi kujipanga.
 
Back
Top Bottom