Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,195
- 79,427
kwani uhuru wa USA 1776 ulikuwa wa states zote 50? na mbona hawasemi Independence of the first 13 states? na tunajua states kama Hawai zimejiunga juzijuzi na the US! Acheni kupotosha...ni uhuru wa Tanzania hata Zanzibar pia itasheherekea ndo maana napo ni public holiday!