Disco vumbi

toghocho

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
1,172
198
kwa wale wadau waliowahi kuhudhuria madisko vumbi especially vijijini, mziki wa panasonic au sony uliounganishwa na kipaza sauti je! ni nyimbo gani nzuri mnazokumbuka ambazo zilikuwa zikipga unakuwa hoi ndani ya vumbi.
mambo ya kwaito, bolingo
 
nilikuwa bado navaa nepi na pia sijakulia kijijini but kuna some moment I regret to miss.
anyway huwezi pata vyote but hope u enjoyed guys
 
Back
Top Bottom