Disco la nguvu la kesha siku mbili mfululizo MAKABURINI!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Kama vile dar haiishiwi na vituko wiki iliyopita kulitokea msiba wa kijana mmoja anayetajwa kuwa ni mdogo wa mkurugenzi wa CLUb KAKALA pale Kigamoni!

Kituko cha aina yake kilikuwa ni pale maandalizi ya kuchimba kaburi maeneo ya magogoni karibu na Mikadi Beach, ndipo mziki wa disco ambao hutumika pale club ulipopelekwa makaburini sambamba na generator la uhakika na vinywaji vya kufa mtu!

Watu walikula na kunywa mpka siku mbili bila disco kuzimwa, kaburi lichimbwa likajengewa mbarumaru kwa ndani na bada siku mbili ndipo mwili wa kijana yule ukahifadhiwa pale!

Binafsi nilishindwa kutafsiri aina hii mpya ya msiba!
 
Hiyo nayo ni moja ya sherehe kubwa saaaana ambazo kila mwanadamu lazima apitie. So, sometimes ni vyema kusherehekea badala ya kuomboleza!!
 
Kama wanajionyesha wana uwezo sana wangelimnunulia uhai mwingine mara baada ya kuona mungu ameuchukua uhai wa kwake au pesa hizo wanazoharibu hivyo hakuna hata mwanandugu anayeteseka na umaskini??? MUNGU ATUSAMEHE SANA
 
<br />
<br />
Exactly tena chakushangaza huyo marehemu alikuwa mfanya kazi wa kiwanda cha bia akiwa kitengo cha bia ya Taska na kampuni hiyo ndiyo iliyo supply vinywaji vyote!!
 
Kama vile dar haiishiwi na vituko wiki iliyopita kulitokea msiba wa kijana mmoja anayetajwa kuwa ni mdogo wa mkurugenzi wa CLUb KAKALA pale Kigamoni!

Kituko cha aina yake kilikuwa ni pale maandalizi ya kuchimba kaburi maeneo ya magogoni karibu na Mikadi Beach, ndipo mziki wa disco ambao hutumika pale club ulipopelekwa makaburini sambamba na generator la uhakika na vinywaji vya kufa mtu!

Watu walikula na kunywa mpka siku mbili bila disco kuzimwa, kaburi lichimbwa likajengewa mbarumaru kwa ndani na bada siku mbili ndipo mwili wa kijana yule ukahifadhiwa pale!

Binafsi nilishindwa kutafsiri aina hii mpya ya msiba!

Inawezekana wafiwa ni wajaluo kwani kwao msiba ubadilika kuwa Disco la nguvu!!! Mila nyingine ni vituko wakati mwingine!!!

Tiba
 
aliikufa kwa nini? Huenda kaugua kwa muda mrefu sana kiasi ambacho alikuwa kisha anza kuwafilisi... Hapo wakashangilia kwa disko la haja mrija wa kukimbiza utajiri na mali umekatika
 
Kama vile dar haiishiwi na vituko wiki iliyopita kulitokea msiba wa kijana mmoja anayetajwa kuwa ni mdogo wa mkurugenzi wa CLUb KAKALA pale Kigamoni!

Kituko cha aina yake kilikuwa ni pale maandalizi ya kuchimba kaburi maeneo ya magogoni karibu na Mikadi Beach, ndipo mziki wa disco ambao hutumika pale club ulipopelekwa makaburini sambamba na generator la uhakika na vinywaji vya kufa mtu!

Watu walikula na kunywa mpka siku mbili bila disco kuzimwa, kaburi lichimbwa likajengewa mbarumaru kwa ndani na bada siku mbili ndipo mwili wa kijana yule ukahifadhiwa pale!

Binafsi nilishindwa kutafsiri aina hii mpya ya msiba!

Labda wewe utuambie ulitakaje, ulitaka kusiwe na huo mziki au ulitaka asizikwe?
 
watu washajichokea na maisha... siku ikishapika bas tunashukuru ..kila mtu lazima aende huko
 
aliikufa kwa nini? Huenda kaugua kwa muda mrefu sana kiasi ambacho alikuwa kisha anza kuwafilisi... Hapo wakashangilia kwa disko la haja mrija wa kukimbiza utajiri na mali umekatika

Mh! sidhani hizo pesa za vinywaji zilitoka wapi? Au walizitenga pembeni.
 
Exactly tena chakushangaza huyo marehemu alikuwa mfanya kazi wa kiwanda cha bia akiwa kitengo cha bia ya Taska na kampuni hiyo ndiyo iliyo supply vinywaji vyote!!
Wacha muchezo, ila mi nilikunywa kiroba teh teh teeh teeeh au nilibaguliwa?
 
Back
Top Bottom