Dirisha la hoteli aliyolala Mheshimiwa Malima lina majibu yote...

huyo malima mwongo sana na mtoa na mpokea rushwa mnzuri tu,uchaguzi wake kuwa mbunge nako fedha kahonga sana jaribu ulizia jimboni kwake.alipewa mapigo manzuri na aliyekuwa then kalewa uroda jamaa wakamfaidi nakumwambia karibu moro,aache kupiga kelele kakaribishwa mjini morogoro au kiswahili cha zito kabwe kaingia choo cha kike.hajaibiwa wa-tz wamerudisha jasho lao tena ningemfahamu alotenda hayo ningemwabia aendelee kurudisha jasho la wanyonge.mdumu mlotenda hayo na mwingine yupo kwenye uchaguzi a.mashariki mwigulu nae mkachukue jasho la wanyonge analofuja.
 
Kuna jamaa ame rise an interesting question! Kama Kweli Adamu Malima ameibiwa GENUNIELY kwanini hadi sasa hajaifungulia mashitaka hiyo HOTEL kwa ulinzi hafifu uliopelekea BURGLAR kumuibia?

Kuna waziri mmoja Uingereza alionekana usiku kwenye RED STREETS na kupigwa picha. Hilo tu lilimfanya ajiuzulu. Lakini hapa kwetu Waziri anatembea na malaya anaibiwa nyara(documents) za serikali. Kiongozi aliyemteua wala hasituki BUSINESS AS USUAL.

Ule usemi wa KIONGOZI NI KUONESHA NJIA hapa Tanzania hauna maana yoyote.
 
Kulikuwa na haja gani kuvunja kitasa cha dirisha kutokea ndani ya chumba? Utafiti wako feki. Kama ni kutokea ndani basi hapangekuwa na haja ya kuvunja bali angefungua tu.

kichwa maji kweli,alitokea mlangon na walibenjua dirisha ili kutengeneza stori yao..fikiria kidogo
 
Its too crazy that I can not even tempt to talk about it. Go to hell Adam Malima!!!
 
Back
Top Bottom