Dirisha la hoteli aliyolala Mheshimiwa Malima lina majibu yote...

Nakubaliana na wewe JB huyu ni Mzinzi amevuna alichokipanda, wangemsukumizia na kijiti cha masaburi ningefurahi sana. Hata vivyo hizo pesa anazosema $400,000 alizokuwa nazo ni uzushi mtupu, kwanini asitembee na Bank card?

Ni $4,000 si lako nne!
 
ANAONGEA KAMA VILE MTU ASIYEENDA SHULENI KABISAAA. anasema kama mtoto, "NA MIMI BUNDUKI NINAYOO!"
Umeona eeh? Kama mipasho vile, "BASTOLA NINAYO! NA BUNDUKI NINAYO"!

Halafu pointi yako ya wakenya kuja kututawala mbeleni, waje mara ngapi? Hiyo hoteli yenyewe ni ya Wakenya, mbele kuna bendera la Kenya, sasa imagine Waziri anaenda kulala hoteli la Wakenya badala ya kusaidia kuinua zetu, hata kama ni chovu ndimo watanzania tunamo lala ikibidi kulala hoteli, yeye anaenda kulala hoteli la kikenya, haelewi! Marekani, kwa mfano, huwezi kukuta serikali inatumia services and products za nje, mfano, Marekani haina sifa ya kutengeneza magari bora, lakini huwezi kukuta idara za serikali kama labda polisi n.k. wanaendesha Toyota au Audi, never!
 
Aina ya mawaziri na baraza la baba yetu. Any way tujipe matumaini kuwa rais wetu ni msikivu akishaona madhara yametokea mfano mgomo wa madr, katiba nk. Hata suala la ma uji ya raia si amesema baada ya mauaji ya arusha, mbeya na songea aliongea juzi akiwa moshi. Hivo na baraza atalivunja tu msiwe na haraka.
 
ukiniuliza mimi kama forensic expert nakataa maelezo ya waziri kwa sababu zifuatazo:


malima anasema kuwa aliporudi alikaa sebuleni ili aangalie tv huku akiwa anaandika taarifa ya ziara yake ya siku nzima...kama ni hivyo kwa simple logic tu ni kwamba lazima simu zake zote angekuwa nazo hapo karibu, moja ya silaha angekuwa nayo karibu, moja ya laptop zake angekuwa nazo karibu na hiyo ndiyo angeitumia kandikia hizo taarifa za zaira zake....pete mkononi angekuwa hajavua....

mpaka sasa hajaonyesha kabrasha lolote lile alilokuwa anatumia kuandika kama kweli alikuwa anaandika....kwa kukaa na kufikiri kwa akili ya kawaida inaonyesha kwamba malima aliingia ndani ya hiyo hoteli akiwa na kahaba na wakaanza kufanya mapenzi hapo sebuleni na inaonekana either alinyonya au alinusa kitu chenye kuleta usingizi mkali na ndio maana tangu saa tano na nusu usiku alipolala alistuka saa kumi alfajiri....nakataa kuwa alikuwa anaandika ...na kutahamaki hamuoni kahaba na kila kitu....


pale morogoro pale labda kama pamebadilika siku hizi maana nina miaka 4 sasa sijatia mguu bongo...pale morogoro pale hakuna haja ya kuwa na smg na bastola juu..........huwezi linda laptop tatu na dola 4000 kwa smg na bastola juu...inaonekana mbali ya kuwa na kahaba huyu malima alikuwa na biashara za madini anazifanya...ameuza madini ya thamani ya kiasi hicho (dola 4000) ...yeye pesa yake halali ilikuwa ni hiyo tsh 1.5/- basi ......

huwezi kuwa na smg na bastola eti vyote ni kwa ajili ya kujilnda....hiki kitu hakipo labda kama yeye malima huwa anafanya na ujambazi.....

kuhusu dirisha hilo kuna uwezekanao mkubwa kuwa limebomolewa kwa makusudi ili kucover hii kitu ......na limebomolewa makusudi..hawezi kusema ukweli maana ni aibu lakini ukweli ni kwamba ameibiwa na kahaba

anyway najaribu kufikiri tu ila ningekuwa huko bongo ningemuumbua huyu....maelezo yake hayajitoshelezi

You are a great thinker
 
Haohao na msomali wa Simba ndo wanaimba Tanzania ni "kisiwa cha amani" wakati wao wanatembea na silaha za ajabu! Pia nakubaliana na wewe kuwa alikuwa ameuza madini ya kudhulumu wachimbaji huko porini, na inawezekana kiasi halisi cha pesa zilizoibwa kimefichwa kukinga aibu!

Yule msomali wa simba ndio bure,yaani bure kabisa!
 
Malima ni reflection ya serikali ya Tanzania. watu walio madarakani ni wababaishaji tu, siyo watu wanaostahili kuwa na madaraka waliyopewa.

Yaani mkuu mpaka nimechoka, yaani hawa ndiyo eti tunategemea watatuvusha kutoka hapa tulipo, hii ishu ingekuwa ndani ya nchi zilizoendea, Maliama angekuwa tayari kajiuzulu na uchunguzi makini ungekuwa unaendelea. Lakini sisi akina bora liende ndiyo basi tena tena usikute wenye hiyo Hotel wakamlipa......... hahahaha!!!!!!!! tambarareeeeeeeeeeeeee!!!!!
 
Ilikuwa $400,000 au $4,000? Nimeona mahali imeandikwa $4,000 na sasa kwenye hii ripoti inasema $400,000 which means hiyo total huyo huyo reporter anayosema ya zaidi ya milioni 23 TShs haziendani.

Hii ndio Tz. Usishangae ukikuta mwingine kaandika $4,000,000
 
Umeona eeh? Kama mipasho vile, "BASTOLA NINAYO! NA BUNDUKI NINAYO"!

Halafu pointi yako ya wakenya kuja kututawala mbeleni, waje mara ngapi? Hiyo hoteli yenyewe ni ya Wakenya, mbele kuna bendera la Kenya, sasa imagine Waziri anaenda kulala hoteli la Wakenya badala ya kusaidia kuinua zetu, hata kama ni chovu ndimo watanzania tunamo lala ikibidi kulala hoteli, yeye anaenda kulala hoteli la kikenya, haelewi! Marekani, kwa mfano, huwezi kukuta serikali inatumia services and products za nje, mfano, Marekani haina sifa ya kutengeneza magari bora, lakini huwezi kukuta idara za serikali kama labda polisi n.k. wanaendesha Toyota au Audi, never!

Halafu anaongea kwa kiburi kama kaka yake Ditopile wa Mzuzuri au mzee wa vijisenti Chenge!!!
 
Huyo Malima ni kamtu kanakopenda ma-pomps sana katika akili ya kawaida haiwezekana Tanzania hii usafiri na silaha zote hizo pia eti dola 4,000. Nina uhakika morogoro hakuna hoteli yenye chumba kinachofikia $ 250 per night. Kalitaka kujitafutia masifa tu niliwahi kukashuhudia Dodoma 2007 tulipanga nae Dodoma hotel masifa tu na kupenda vicheche...imejibu huenda atajifunza kitu.
 
Hon. Malima would do better by keeping the whole episode by himself.
His statements leave more questions than answers.
No wonder, he could not even write his CV appropriately.
A typical example of a Tanzania Minister.
 
hivi inakuwaje hoteli kama hii wakubali kuharibiwa reputation yao kiurahisi namna hii.......kwani ilivyo kwa sasa Nashera sio hoteli salama tena iwe kwa mtu wa kawaida au mtalii......:bump2:
 
hivi inakuwaje hoteli kama hii wakubali kuharibiwa reputation yao kiurahisi namna hii.......kwani ilivyo kwa sasa Nashera sio hoteli salama tena iwe kwa mtu wa kawaida au mtalii......:bump2:


Mimi sioni kama management ya Hotel wana tatizo?
Sasa kama mteja wao amekuja na kiburudisho wao wafanye nini?
Swala la kujiuliza, huyo Changu aliwezaje ku escape hapo hotelini baada ya kumtoka Mheshimiwa Kiaina?
 
Nimesoma gazeti la mwananchi linasema Naibu waziri kaibiwa. Na ametoa ripoti polisi na polisi wametangaza baadhi ya vitu alivyoibiwa na gharama zake. Jamani watanzania wenzangu tunatakiwa tuache hii tabia ya kuongeza bei ya kitu au vitu ili uonekane kuwa ww unatahamani sana au uko juu sana kuliko wengine. Ukiangalia hata katika bajeti yetu ya serikali, maofisini wanatabia za kuongeza bei kuliko kuweka bei halisi. Leo hii naibu waziri anasema uongo na kuongeza bei ya simu. Naibu waziri kawaambia polisi kaibiwa simu aina ya Blackbery yenye thamani ya 5.5million. Kwa upande wangu nakataa na ninapinga hakuna simu ya blackbery yenye thamani ya hii pesa ni uongo na wizi. Mimi ninayo simu aina ya Samsung Galaxy s2 ndio ziko katika soko hivi sasa gharama yake ni Paund £500.00 tuseme 1.3 million. Sasa leo hii naibu waziri wako anadanganya je huyu ataweza kuongoza. Kama sio atatumia ujanja ujanja za kupokea rushwa. Ndio serikali ya Kikwete io. Dola $400.000.00 na kadi za benki tatu kama una kadi za benki tatu hizo dola zote za nini. wakati benki zimejaa kila kona ya Tanzania. Na ni mshahara gani anaopata mpaka awe na pesa ambazo hazina kazi kama anazosema alikuwa nazo. Naibu waziri ni muongo na mtu muongo hafai katika uongozi. Amedanganya umma ya watanzania tena kwa maandishi kwasababu rripoti ipo polisi. Hafai Rais inabidi amwajibishe.

Huyu jamaa anajikanganya, halafu mimi nilidhani SMG ni bunduki ya kivita, pia vipi anajaribu kusema bunduki ni mtaji hiyo yenyewe inatosha kusema kuwa ana promote ujambazi. Huyu jamaa hawezi kujiuzulu wala kuachishwa kwani umesikia wapi viongozi wa Tanzania wanatumia style ya kujiuzulu. Huyu Malima ni msanii tu, eti anasema kama wangekuwa wamekusudia basi wangechukua mpaka bunduki, hapo ndiyo nilipopata picha ya kuwa aliyechukua vitu hivyo ni CD, Malima ametudhalilisha watanzania kuonesha kuwa Naibu Waziri anaweza kuamua kwenda mkutanoni au kutumwa kwenda kwenye mikutano ya kimataifa bila ya kujipanga. Tusishangae maendeleo ya nchi yetu yana akisi viongozi kama Malima, kazi tunayo, maendeleo ya Tanzania yatakuwa ya ndoto tu kama hali ndiyo hii.
 
Huyu jamaa anajikanganya, halafu mimi nilidhani SMG ni bunduki ya kivita, pia vipi anajaribu kusema bunduki ni mtaji hiyo yenyewe inatosha kusema kuwa ana promote ujambazi. Huyu jamaa hawezi kujiuzulu wala kuachishwa kwani umesikia wapi viongozi wa Tanzania wanatumia style ya kujiuzulu. Huyu Malima ni msanii tu, eti anasema kama wangekuwa wamekusudia basi wangechukua mpaka bunduki, hapo ndiyo nilipopata picha ya kuwa aliyechukua vitu hivyo ni CD, Malima ametudhalilisha watanzania kuonesha kuwa Naibu Waziri anaweza kuamua kwenda mkutanoni au kutumwa kwenda kwenye mikutano ya kimataifa bila ya kujipanga. Tusishangae maendeleo ya nchi yetu yana akisi viongozi kama Malima, kazi tunayo, maendeleo ya Tanzania yatakuwa ya ndoto tu kama hali ndiyo hii.


Watanzania tunajulikana sana kwa kutumia fursa za kwenda kwenye mikutano ya Nje kufanya shopping.
Hon Malima, says it all.
 
HUU NI MSHAHARA WA UFUSKA, MM MWENYEWE NILISHAWAHI KUPATWA NA SKENDO INAYOLANDANA NA HII..ILIKUWA SIKU YA JUMAMOSI KAMA LEO! BAADA YA KUTOKA JOB..NIKAPITIA MAHALI NA KUPATA MOJA MOTO MOJA BARIDIIII! MARA YULE NDUGU ANAYEBEMBEA KWA CHINI AKANYANYUKA NA KUUPA UBONGO ISHARA KUWA ANATAKA ILE CHAKULA YAKE..MWANAUME NIKAONDOKA MPAKA MITAA FULANI! NIKAOPOA CHANGU! NIKAPANGA NILITAFUNIE KWENYE KAUSAFIRI KANGU! CHANGU AKARIDHIA NA KUNIELEKEZA MAENEO AMBAYO KWA UZOEFU WAKE NI MAENEO SALAMA!
BASI TUKAFIKA NA BILA KUPOTEZA MUDA TUKAANZA KUKIBANJUA KIAMRI CHA 6..TUKIWA KATIKATI MARA DEFENDER HILOOOO!!! WALE POLISI WALIOKUWA KWENYE GARI WAKASHUKA CHAP CHAP NA KUANZA KUPIGA GARI PICHA HUKU WENGINE WAKIMULIKA NDANI YA GARI KWA KUTUMIA TORCH NA WAKIAMRISHA TUSHUKE MARA MOJA..MUUNGWANA NIKATOA LOCK KWENYE GARI ILI KUJISALIMISHA..JAMAA WAKAPIGA PICHA ZA KUTOSHA! IKIWEMO YA CHANGU ALIYE UCHI NDANI YA GARI LANGU!!! ILIKUWA NI KERO KUBWA!!! WAKAMCHUKUA YULE CD NA KUMPANDISHA KWENYE DEFENDER! HUKU WAKINIAMBIA TUONGOZANE HADI CENTRAL POLICE! NIKAANZA KUOMBA HUKU NIKIWAAMBIA KUWA MM NI MWANUME MWENZAO HIVYO HAWANA BUDI KUNISAIDIA KWANI WANAUME WANA DESTURI YA KUSAIDIANA!! WAKASEMA KAMA UNATAKA TUKUSAIDIE LETA LAKI 800,000. NIKASEMA NINA 50000..JAMAA WAKANIAMBIA KWA KUNISAIDIA SANA NIWAPE LAKI NNE, LA SIVYO PICHA ZANGU ZITATOKA GAZETINI NA WANGENIPELEKA POLISI NA NDUGU ZANGU WOTE PAMOJA NA MKE WANGU NA WOTE WANAONIFAHAMU WANGEJUA!
NIKAWAZA FASTA FASTA LAKI NNE NI NN MBELE YA HESHIMA HAPA MJINI..NIKAWAAMBIA KUWA KWA MUDA HUO SINA HIYO HELA ILA TUONGOZANE MPAKA KWENYE ATM NIWAPE CHAO. KWA SHARTI LA KUFUTA ZILE PHOTO KUTOKA KWENYE DIGITAL CAMERA! WAKAKUBALI NIKAENDA NAO MPAKA ATM. NIKAWAPA CHAO! WAKAFUTA ZILE PICHA(UNDER MY SUPERVISIION)Mpaka kesho mm na makahaba ni chui na paka! kwani niligundua ile dili ilikuwa ni between police na yule kahaba!

Na bado, mpaka mtaisha tuu.
Ila we nae mchaka ulizidi, mpaka kwenye gari kweli? Nyumba za kufanyia uzinzi hukuziona? Ndio maana ajali zinakua nyingi, mnayatia gundu hayo magari yenu...
 
Nimekugongea like lakini si kwamba umeongea point ni kwa sababu akili yako iko mbali sana. We mpuuzi tangu thread ianzishwe hujajua kinachoongelewa sasa ngoja nikusaidie. Ni kuwa aliyeiba ameondoka na kaondoka kiulaini ikiwezekana kupitia mlaongoni akaaga na getini akaishia. Ili kupoteza ushahidi kuwa alikuwa na CD ikabidi wavunje kitasa kwa ndani na ionekane mwizi alipita dirishani.........we umesomea wapi.....aghhhhhhh alafu eti na wewe great thinker kila kitu utafuniwe......mie naudhika sana na watu wenye bongo kama yako lol!!!

tatizo unajua ni kwamba jamaa azidisha ushabik zaidi zid ya tafakar, azingatie kuwa upenz uso na tija haujeng mshaur na mweke sawa ipo siku labda ataondokana na ushabik mfu. hata huyo malima alipoeleza juu ya hilo tukio pana utata.
 
Back
Top Bottom