Dirisha la hoteli aliyolala Mheshimiwa Malima lina majibu yote...

Kwani hadi sasa kuna mwenye mashaka kuwa hilo dirisha libetuliwa kwa makubaliano na wenye hoteli na Malima ili kufunika aibu?
Taarifa za awali zilisema kuwa wahudumu wa hoteli walisema Malima aliporudi usiku alikuwa na kimwana mweupe.... Hii ndiyo ilikuwa taarifa sahihi kuhusiana na wizi huu na ufuska wa Malima. Lakini hii sasa imezimwa, tumebakiwa na fabricated stori za oh alikuwa akiangalia tv.... usiku saa 10? , oh sijui nini. Arudishe tu hela zetu huyo *********, kisha aendelee na ufuska wake.
Ila nampongeza dada aliyemshikisha adabu huyo*******. Namwombea aanze nazo maisha viruzi, aache umalaya.
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.......
 
Huyu Malima ni mzushi tu, hiyo mikutano au safari anazozingumzia kuwa ni za ghafla ina maana Wizara za tanzania hazijipangi? au hawaletewi invitation mapema? Kweli Nchi yetu inaongozwa na Wahuni na wapumbavu, Ooooo goshi Wanakera sana hawa wapumbavu wanaoitwa Mawaziri wajinga wapumbavu hawajui hata kuzungumza, wapo wapo tu
 
Kumbe hawa Mawazi wanapewa pesa za safari na anatembea nazo kwenye gari lake basi wanahaki ya kuibiwa na hata magari yao kuanzaia leo yaanze kuwindwa na Watanzania wazalendo tujichukulieni pesa zetu. Hii ni Money laundry hana tofauti na zile bureau de change zilizojazana huko Kariaakoo na mitaa mingine zinazofanya money laundry

MONEY LAUNDERING na siyo MONEY LAUNDRY
 
Yaani aibu tupu hata Meneja wa hiyo Hoteli sio Mtanzania ni Mkenya, kwani hakuna Mtanzania anaweza kuwa Meneja? Jamni tulindeni ajira zetu
 
Alishasema nguo zote alizokuwa amebeba kwenye ziara hamna hata moja iliyopotea: kwa hiyo aliibiwa vito, laptop/tablet na pesa/per diem tu alizokuwa ameacha kwenye living room:

Kwani yale Mabegi matatu yalikuwa yamebeba nini?
 
Anachosema Malima ni kwamba yeye na Ngeleja hawajui kitu kinachoitwa 'Planning'. Wanaendesha hiyo Wizara kwa mtindo wa zima moto. Safari za ghafla maana yake nini?

Kuhusu gharama za hoteli, serikali haina kiwango kwa maafisa/mawaziri wake? Kwamba wakiwa mikoani watakaa kwenye standard rooms au presidential suite? 400,000 kwa Mkoa wa Morogoro ni chumba cha Bill Gates, serikali inayoishi kwa kibakuli inamlaza naibu waziri kwa gharama kubwa kiasi hicho? Je, waziri kamili inakuwaje? No wonder serikali imefilisika.

Sasa hiyo ndio Wizara ya Nishati ndio tunayoitegemea katika mambo ya Umeme na Madini inaendshwa kienyeji enyeji kama vile wanauza genge. Ikiwa wazara inaendehswa hivyo je huko Magogoni kukoje uchafu wake? Kumbe hata TRA wameshindwa kukusanya mapato kwa upumbavu wa kuendesha Wizara zetu kijingajinga kama wanaendesha magenge ya nyanya, pumbavu zenu.
 
HUU NI MSHAHARA WA UFUSKA, MM MWENYEWE NILISHAWAHI KUPATWA NA SKENDO INAYOLANDANA NA HII..ILIKUWA SIKU YA JUMAMOSI KAMA LEO! BAADA YA KUTOKA JOB..NIKAPITIA MAHALI NA KUPATA MOJA MOTO MOJA BARIDIIII! MARA YULE NDUGU ANAYEBEMBEA KWA CHINI AKANYANYUKA NA KUUPA UBONGO ISHARA KUWA ANATAKA ILE CHAKULA YAKE..MWANAUME NIKAONDOKA MPAKA MITAA FULANI! NIKAOPOA CHANGU! NIKAPANGA NILITAFUNIE KWENYE KAUSAFIRI KANGU! CHANGU AKARIDHIA NA KUNIELEKEZA MAENEO AMBAYO KWA UZOEFU WAKE NI MAENEO SALAMA!
BASI TUKAFIKA NA BILA KUPOTEZA MUDA TUKAANZA KUKIBANJUA KIAMRI CHA 6..TUKIWA KATIKATI MARA DEFENDER HILOOOO!!! WALE POLISI WALIOKUWA KWENYE GARI WAKASHUKA CHAP CHAP NA KUANZA KUPIGA GARI PICHA HUKU WENGINE WAKIMULIKA NDANI YA GARI KWA KUTUMIA TORCH NA WAKIAMRISHA TUSHUKE MARA MOJA..MUUNGWANA NIKATOA LOCK KWENYE GARI ILI KUJISALIMISHA..JAMAA WAKAPIGA PICHA ZA KUTOSHA! IKIWEMO YA CHANGU ALIYE UCHI NDANI YA GARI LANGU!!! ILIKUWA NI KERO KUBWA!!! WAKAMCHUKUA YULE CD NA KUMPANDISHA KWENYE DEFENDER! HUKU WAKINIAMBIA TUONGOZANE HADI CENTRAL POLICE! NIKAANZA KUOMBA HUKU NIKIWAAMBIA KUWA MM NI MWANUME MWENZAO HIVYO HAWANA BUDI KUNISAIDIA KWANI WANAUME WANA DESTURI YA KUSAIDIANA!! WAKASEMA KAMA UNATAKA TUKUSAIDIE LETA LAKI 800,000. NIKASEMA NINA 50000..JAMAA WAKANIAMBIA KWA KUNISAIDIA SANA NIWAPE LAKI NNE, LA SIVYO PICHA ZANGU ZITATOKA GAZETINI NA WANGENIPELEKA POLISI NA NDUGU ZANGU WOTE PAMOJA NA MKE WANGU NA WOTE WANAONIFAHAMU WANGEJUA!
NIKAWAZA FASTA FASTA LAKI NNE NI NN MBELE YA HESHIMA HAPA MJINI..NIKAWAAMBIA KUWA KWA MUDA HUO SINA HIYO HELA ILA TUONGOZANE MPAKA KWENYE ATM NIWAPE CHAO. KWA SHARTI LA KUFUTA ZILE PHOTO KUTOKA KWENYE DIGITAL CAMERA! WAKAKUBALI NIKAENDA NAO MPAKA ATM. NIKAWAPA CHAO! WAKAFUTA ZILE PICHA(UNDER MY SUPERVISIION)Mpaka kesho mm na makahaba ni chui na paka! kwani niligundua ile dili ilikuwa ni between police na yule kahaba!
 
ni kweli kabisa sisi naoziba matairi ya magari mnakubwa kwa kutumia tire-liver utagundua ni yeye malima kapabenjua, kwani lile dirisha la pili linalokutana halijaumia kabisa.
kawaida changu ni lazima alipwe hatajali ww ni waziri wa nishati au umeme

Ukwaju,

Umeleta point nzuri sana. Hata mimi nilikuwa najiuliza inakuwaje dirisha lingine alijaguswa? Kwani kama mtu angelifungua kutokea nje lazima lingeguswa. Kwa wale ambao waliosoma Material Technology kuna test inayoitwa Tensile ambayo mara nyingi inatumika kuangalia elasticity ya material. Ukiangalia shape ya jinsi kitu kilivyovunjika (deformities) kinaweza kukupa picha direction ya force iliyokivunja hicho kitu. Na kutokana na huo mbonyeo kwenye hiyo clpi ni wazi kuwa mtu aliyevunja alikuwa ndani.
 
Anachosema Malima ni kwamba yeye na Ngeleja hawajui kitu kinachoitwa 'Planning'. Wanaendesha hiyo Wizara kwa mtindo wa zima moto. Safari za ghafla maana yake nini?

Kuhusu gharama za hoteli, serikali haina kiwango kwa maafisa/mawaziri wake? Kwamba wakiwa mikoani watakaa kwenye standard rooms au presidential suite? 400,000 kwa Mkoa wa Morogoro ni chumba cha Bill Gates, serikali inayoishi kwa kibakuli inamlaza naibu waziri kwa gharama kubwa kiasi hicho? Je, waziri kamili inakuwaje? No wonder serikali imefilisika.

Toka jana nimeuliza kuhusu hili suala ila bahati mbaya sijapata jibu.

Hivi mwaziri wana per diems rates zao peke yao au wanatumia zile za maofisa wengine wa serikali...Kama wanatumia rates za serikali, senior officers wanalipwa 80,000.00 kwa ajili ya malazi na chakula!

Hiyo 400,000.00 ya hotel anayolipa Malima inatoka wapi?
 
LIle dirisha naona liliminywa kimtindo ili wapate namna ya kumtetea na yule manager mkenya aliwekwa sawa.
Mbaya zaidi mbona waandishi hawakwenda kuwahoji walinzi na ,mbaya zaidi iyo hotel nasikia ina Camera sasa wameshindwa kuretrieve ilo tukio
 
Ametoka kuhongwa na Mabwana zao weupe wa Migodini, 10% yake yeye na Ngeleja
 
Alishasema nguo zote alizokuwa amebeba kwenye ziara hamna hata moja iliyopotea: kwa hiyo aliibiwa vito, laptop/tablet na pesa/per diem tu alizokuwa ameacha kwenye living room:
Apolo ustaadh wangu, labda hukumsikia mwenyewe na umehadithiwa. Yeye kataja mpaka baraghasheikh ya 50,000 shilings! Au siku hizi nayo ni kito!
 
LIle dirisha naona liliminywa kimtindo ili wapate namna ya kumtetea na yule manager mkenya aliwekwa sawa.
Mbaya zaidi mbona waandishi hawakwenda kuwahoji walinzi na ,mbaya zaidi iyo hotel nasikia ina Camera sasa wameshindwa kuretrieve ilo tukio

Hakuna mtu anayekataa kuwa liliminywa kimtindo, lakini mtu aliyeliminya hakufikiria nje ya box. Ule mbonyeo wa kwenye video hakutokea nje kama Mheshimiwa Waziri anavyotaka tuamini bali umetokea ndani. Hapo ndipo uongo wao unavyoonekana haukwenda shule..
 
Huyo ndio utamu wa kununua changudoa, bado Jambazi la Magogoni nalo linatakiwa liwekwe sawa pia
 
Teh teh teh, huraaa..... sababu nyingine imejitokeza ya kuvunja baraza fisadi la mawaziri!!!!!!!! Who in his/her mind we keepsomebody of this type! Hivi Malima anacheza film gani ya C. Noris? Maana hizo silaha zinatocha ka platoon!
Let us wait and see..............Viva mabaraza jipya!
 
Kumbe hawa Mawazi wanapewa pesa za safari na anatembea nazo kwenye gari lake basi wanahaki ya kuibiwa na hata magari yao kuanzaia leo yaanze kuwindwa na Watanzania wazalendo tujichukulieni pesa zetu. Hii ni Money laundry hana tofauti na zile bureau de change zilizojazana huko Kariaakoo na mitaa mingine zinazofanya money laundry
Mzalendo80 it is money laundering. Not all bureau de change in Kariakoo and elsewhere are being involved in money laundering activities. It is important to remember that bureau de change business is legal and regulated by Bank of Tanzania.
 
Nimeangalia clip ya video iliyokuwa posted, kuanzia dakika 2:30, inayohusiana na kuvunjwa kwa Hoteli aliyolala Mheshimiwa na inaonyesha dhahiri ya kuwa mtu aliyevunja hiyo Hoteli alivunja akitokea ndani na sio nje. Jee, nimefika vipi hiyo conclusion? Ukaingalia vizuri ule mbonyeo umetoka nje, kitu kinachoonyesha ya kuwa force ilikuwa on the opposite direction.

Naomba Moderator usiunganishe hii na ile nyingine kwani hii topic imejikita zaidi kwenye uchunguzi.

[video=youtube;DRjjA-MoQ5]http://www.youtube.com/watch?v=DRjjA-MoQ5[/video]

Naibu wazir aibiwa morogoro - YouTube

Kulikuwa na haja gani kuvunja kitasa cha dirisha kutokea ndani ya chumba? Utafiti wako feki. Kama ni kutokea ndani basi hapangekuwa na haja ya kuvunja bali angefungua tu.
 
nyie mnashangaa bunduki

mawaziri siku hizi wanatembea na mabomu,ukija na pollonium yako fasta unalipuliwa,hakuna usalama wala kuaminiana kila mtu anamwona mwenzake ni adui

ukinigusa tu nakuripua
 
Back
Top Bottom