Dirisha la hoteli aliyolala Mheshimiwa Malima lina majibu yote...

Rufiji

Platinum Member
Jun 18, 2006
1,881
941
Nimeangalia clip ya video iliyokuwa posted, kuanzia dakika 2:30, inayohusiana na kuvunjwa kwa Hoteli aliyolala Mheshimiwa na inaonyesha dhahiri ya kuwa mtu aliyevunja hiyo Hoteli alivunja akitokea ndani na sio nje. Jee, nimefika vipi hiyo conclusion? Ukaingalia vizuri ule mbonyeo umetoka nje, kitu kinachoonyesha ya kuwa force ilikuwa on the opposite direction.

Naomba Moderator usiunganishe hii na ile nyingine kwani hii topic imejikita zaidi kwenye uchunguzi.

[video=youtube;DRjjA-MoQ5]http://www.youtube.com/watch?v=DRjjA-MoQ5[/video]

Naibu wazir aibiwa morogoro - YouTube
 
Alishasema nguo zote alizokuwa amebeba kwenye ziara hamna hata moja iliyopotea: kwa hiyo aliibiwa vito, laptop/tablet na pesa/per diem tu alizokuwa ameacha kwenye living room:
 
Huyu malima mpumbavu kweli, eti anasema anatembea na pesa kwa ajili ya safari za ghafla ikiwa bwana mgao wa umeme (ngeleja) hawezi kusafiiri anaambiwa yeye asafiri, eti hawezi kupewa muda wa safari basi hapo alipo au mahali popote alipo anasafiri mda wowote kana kwamba tanzania ina viwanja wa ndege kila sehemu, Ina maana Huyu ******** Malima anasafiri na Ndege yake mwenyewe? au ndege huwa zinamfuata hapo alipo? $400,000 ni nyingi mno kutembea nazo mtu kama Malima tena ni waziri. Sasa tujiulizeni ikiwa Naibu wa Waziri anatembea na hizo pesa je mawaziri wengine na kiasi gani kwenye Magari yao?
 
Sasa nyie mlitaka mwizi ashuke ngazi anaburuza mabegi? Mwizi anaweza kupitia mlangoni akatokea dirishani. Kwenye investigation lazima u keep an open mind.
 
Kumbe hawa Mawazi wanapewa pesa za safari na anatembea nazo kwenye gari lake basi wanahaki ya kuibiwa na hata magari yao kuanzaia leo yaanze kuwindwa na Watanzania wazalendo tujichukulieni pesa zetu. Hii ni Money laundry hana tofauti na zile bureau de change zilizojazana huko Kariaakoo na mitaa mingine zinazofanya money laundry
 
mimi bado sipati picha hayo matumizi ya silaha mbili kwa mpigo.Pistol inawza kuwa personal weapon sasa na hiyo kubwa tunayoambiwa ni bomu au mashine gun?
 
Nimeangalia clip ya video iliyokuwa posted, kuanzia dakika 2:30, inayohusiana na kuvunjwa kwa Hoteli aliyolala Mheshimiwa na inaonyesha dhahiri ya kuwa mtu aliyevunja hiyo Hoteli alivunja akitokea ndani na sio nje. Jee, nimefika vipi hiyo conclusion? Ukaingalia vizuri ule mbonyeo umetoka nje, kitu kinachoonyesha ya kuwa force ilikuwa on the opposite direction.

Naomba Moderator usiunganishe hii na ile nyingine kwani hii topic imejikita zaidi kwenye uchunguzi.


Naibu wazir aibiwa morogoro - YouTube
Huyu jamaa ni asherati tu... asitupotezee muda. na wala hatawajibishwa kwa sababu mkuu wake nae wamo
 
Initial investigations has proved that the Window was broken after the incident from inside the room. The window was broken in favor of Malima (Mzinzi).
ni kweli kabisa sisi naoziba matairi ya magari mnakubwa kwa kutumia tire-liver utagundua ni yeye malima kapabenjua, kwani lile dirisha la pili linalokutana halijaumia kabisa.
kawaida changu ni lazima alipwe hatajali ww ni waziri wa nishati au umeme
 
Tuwe wakweli na wawazi jamaa hajaibiwa na mtu mgeni bali ni malaya wake tu, atulie atavikuta hukohuko kwa nyumbandogo yake

Nakubaliana na wewe JB huyu ni ******** amevuna alichokipanda, wangemsukumizia ******* ningefurahi sana. Hata vivyo hizo pesa anazosema $400,000 alizokuwa nazo ni uzushi mtupu, kwanini asitembee na Bank card?
 
unaangalia tv sebuleni mpaka saa 10:45 sasa room-kitanda alilipia cha nini si angelala kwenye gari?uongo wa mtoto wasec
 
Huyu malima mpumbavu kweli, eti anasema anatembea na pesa kwa ajili ya safari za ghafla ikiwa bwana mgao wa umeme (ngeleja) hawezi kusafiiri anaambiwa yeye asafiri, eti hawezi kupewa muda wa safari basi hapo alipo au mahali popote alipo anasafiri mda wowote kana kwamba tanzania ina viwanja wa ndege kila sehemu, Ina maana Huyu Mpuuzi Malima anasafiri na Ndege yake mwenyewe? au ndege huwa zinamfuata hapo alipo? $400,000 ni nyingi mno kutembea nazo mtu kama Malima tena ni waziri. Sasa tujiulizeni ikiwa Naibu wa Waziri anatembea na hizo pesa je mawaziri wengine na kiasi gani kwenye Magari yao?

Ilikuwa $400,000 au $4,000? Nimeona mahali imeandikwa $4,000 na sasa kwenye hii ripoti inasema $400,000 which means hiyo total huyo huyo reporter anayosema ya zaidi ya milioni 23 TShs haziendani.
 
Huu ni ujinga upuuzi use....n.. na kila *****! hata mtoto akilamba sukari hadanganyi hivi.
 
kana kwamba tanzania ina viwanja wa ndege kila sehemu, Ina maana Huyu******* Malima anasafiri na Ndege yake mwenyewe? au ndege huwa zinamfuata hapo alipo? $400,000 ni nyingi mno kutembea nazo
Hiyo $400,000 mwandishi wa ITV kachemka, Malima hajalizwa dola laki nne! Mwandishi maskini hajui hata $400,000 ina thamani gani... kajiongelea tu... haahahahahaha

Anyhow, waziri anakera ile mbaya japo nimebaki nacheka tu. Lakini assuming ni kweli Tanzania kuna airport kila sehemu na anaweza kuondoka kutokea pori lolote (kasema anatembea maporini usiku) ina maana kwamba hawa mawaziri wetu huwa wanaanzia safari za kwenda mikutano kutokea maporini, hawana maandalizi, hawana agenda, hawana nyaraka, unless anatembea na file cabinet zima la wizara, yani akitumwa nje kwa swala lolote popote alipo yuko gado na makaratasi ya kila topic! You know.... Hahahahaha...So ridiculous.
 
Ilikuwa $400,000 au $4,000? Nimeona mahali imeandikwa $4,000 na sasa kwenye hii ripoti inasema $400,000 which means hiyo total huyo huyo reporter anayosema ya zaidi ya milioni 23 TShs haziendani.

Wabongo mara nyingi tuna makengeza ya namba. Msikilize Waziri wa fedha kwenye bajeti.

Atembee na $400,000 kwani anafanya kampeni za urais?

Tanzania si ajabu mtu kukwambia "dola laki nne" akimaanisha dola za Kimarekani zenye thamani ya shilingi laki nne!

I believe in this case the figure is $4,000 and not $400,000.

$ 400,000 is some Chenge money!
 
Dola 400,000? huyo mwandishi ni ******* unless unambie Malima anataka kuishtaki Hoteli
 
Anachosema Malima ni kwamba yeye na Ngeleja hawajui kitu kinachoitwa 'Planning'. Wanaendesha hiyo Wizara kwa mtindo wa zima moto. Safari za ghafla maana yake nini?

Kuhusu gharama za hoteli, serikali haina kiwango kwa maafisa/mawaziri wake? Kwamba wakiwa mikoani watakaa kwenye standard rooms au presidential suite? 400,000 kwa Mkoa wa Morogoro ni chumba cha Bill Gates, serikali inayoishi kwa kibakuli inamlaza naibu waziri kwa gharama kubwa kiasi hicho? Je, waziri kamili inakuwaje? No wonder serikali imefilisika.
 
Back
Top Bottom