Dirisha/frem za aluminium msaada pls

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Habar zenu wana jf nakuombeni msaada kuhusu hiz frem za aluminium na vifaa vya kufunga ili ikamilike na kuwa dirisha. ukubwa wa dirisha ni 4kwa4 sasa mafundi wananiletea mlolongo wa vi2 kibao wakati kazi pale ni kukata na kufunga tu! Na bei ya chuma moja ni elf 36 lakini mafundi wanasema ela ya kununua chuma na kufunga ni laki 1na 40 hapo bado sijampa ela ya ufundi kama kuna ambao wameshafanya finish ya haya madirisha tafadhali anijuze zaidi NAWASILISHA!
 
Mkuu unataka dirisha la unene wa sentimita 8 au 10? Je uko mkoa gani? Kama uko DAR na unataka la sm 8 basi nenda pale GoodOne mtaa wa Swahili Kariakoo ndo wenye bei rahisi kuliko wote jijini DAR. Kwa dirisha la unene wa sm 8 wana-charge elfu 95 kwa square meter. Kwahiyo dirisha lako la 4x4 = (1.2mx1.2m) = 1.44 square meter x 95,000 = 136,800/=. Hii bei ni mpaka kukupelekea na kukufungia site kwako popote jijini DAR.

Kama unataka la unene wa sm 10 mwenye bei nzuri ni Mchina mmoja yuko pale Mikocheni industrial area opposite na kiwanda cha maji cha Cool Blue. Yeye anacharge 152,000/= kwa square meter. Kazi yake ni nzuri utaipenda. Namba yake ni 0757320198.
 
Mkuu unataka dirisha la unene wa sentimita 8 au 10? Je uko mkoa gani? Kama uko DAR na unataka la sm 8 basi nenda pale GoodOne mtaa wa Swahili Kariakoo ndo wenye bei rahisi kuliko wote jijini DAR. Kwa dirisha la unene wa sm 8 wana-charge elfu 95 kwa square meter. Kwahiyo dirisha lako la 4x4 = (1.2mx1.2m) = 1.44 square meter x 95,000 = 136,800/=. Hii bei ni mpaka kukupelekea na kukufungia site kwako popote jijini DAR. Kama unataka la unene wa sm 10 mwenye bei nzuri ni Mchina mmoja yuko pale Mikocheni industrial area opposite na kiwanda cha maji cha Cool Blue. Yeye anacharge 152,000/= kwa square meter. Kazi yake ni nzuri utaipenda. Namba yake ni 0757320198.[/QU kwa maeneo ya arusha au moshi
 
Kwa Arusha na Moshi sina taarifa mkuu. Maana ukiwataka hawa wa DAR watakulipisha gharama za usafiri na malazi kwa fundi wao ambao utakuwa mzigo tena kwako.

Sijui kuhusu Arusha; huku kwetu dirisha kama la jamaa hapo juu linacost laki tatu na nusu mpaka kufungiwa!!!!!!!!!!! Kwa wenzangu na mimi ambao pesa ni tatizo namba moja ni bora kununu a mjini kisha unalisafirisha unakuja kulipa pesa ya fundi kufunga tu!
 
Back
Top Bottom