Director wa zile movie maarufu za Matrix ajibadili jinsia..hii kali!!

kijanamakini

Senior Member
Nov 2, 2010
116
13
Zaliwa Binti Kufa Mbaba! Teknolojia Ilipofikia! | Kona Ya Teknolojia Tanzania!

larry wachowski.jpg Lana.jpg
Alivyokuwa zamani, na alivyo sasa!!!!

Dunia ina mambo!!!! Gender issues hizi!!!
 
Hebu elezea alianza ke ndo akaenda me au vice versa na vipi kuhusu huko chini kende alizipata wapi?
 
Alikuwa baba mwenye familia, akamuacha mke wake na kuanza kutumia hormones za kike, na inasemakana ashafanya surgery ya kutoa kende na kila kitu chini kuweka cha kike... kazi ipo..
 
Alikuwa baba mwenye familia, akamuacha mke wake na kuanza kutumia hormones za kike, na inasemakana ashafanya surgery ya kutoa kende na kila kitu chini kuweka cha kike... kazi ipo..

"Mbona kazi ipo kha"
 
Hizi tekenolojia kha!..
Tunakoelekea watu watajibadilisha kuwa manyani sasa..
Manake watakuwa hawaoni jipya..
 
WTF is wrong with this world these day?this is crazy,dooms day is nearer
 
Alikuwa baba mwenye familia, akamuacha mke wake na kuanza kutumia hormones za kike, na inasemakana ashafanya surgery ya kutoa kende na kila kitu chini kuweka cha kike... kazi ipo..

si shangai huku marekani now ni trend dunia inanadilika mashoga wanataka wawe kabisa jinsi
freemason--anti christ inahusika
 
Back
Top Bottom