BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,011
Khaaaaa!!! Angalia jinsi ulivyo mtupu!!!! tangu lini vipaumbele vya Serikali vimekuwa siri? Vipaumbele vinafanywa siri kwa faida ya nani!? Halafu eti unataka kuwa Rais!!!! Halafu naona umejisahau hapa na kuandika kama wewe mwenyewe gaidi siyo tena kama third party!!!!
Tutoe taarifa sahihi ili vipaombele vya serikali viwe revealed