Diplomatic row? Rwanda to relocate Burundi refugees to other countries!

Kwani nani kakuambia kuwa hiyo laana ina mipaka. Its in your DNA. Huyo tulishahesabu kama mfu tu. Tunasubiri utuletee maiti tumzike. Mwisho wake utakuwa mbaya tu.
Sasa nani kalaaniwa? Robert kajuga si kabila lenu ? halafu kwa nini uhesabu kuwa dada yenu kafa?
 
Hacha = acha.
wamg'oe = wamng'oe.
Kwa hiki kiswahili chako na wewe ni jipu la kagame tu.
lol! debate imeanza kukushinda sasa unataka kujifanya Mwinyi mpekuzi? hivyo ni vijimambo tu... kwa bahati nzuri nimekupata, kabla haujakimbia please turudi kwenye issue... murutongore
 
Hypocrite ni wewe unayejifanya hujui kuwa Tanzania ndio inaongoza kuwa na wakimbizi wengi kutoka Burundi. Swali ni kwa nini Rwanda ilaumiwe lakini Tanzania isilaumiwe! Jibu hilo!
chuki, wivu na mengine nisiyoyajuwa ambayo ningefurahi unifahamishe kwani sisi huku tumebaki tuna duwaa...
 
Tanzania ndio nchi katika ukanda huu inayomtetea Nkurunziza. Sasa nadhani ni vizuri mkaenda a yard further, mkawachukua hao wakimbizi wanaokimbia mauaji ya halaiki mkawahifadhi halafu mkawapa na ulinzi ili wasijaribu kufanya wanayotuhumiwa kufanya.

Mna haki ya kuichukia Tanzania, imewazibia mipango ovu yote ya DRC na Burundi. Lazima mkasirike. Poleni sana.
 
Mna haki ya kuichukia Tanzania, imewazibia mipango ovu yote ya DRC na Burundi. Lazima mkasirike. Poleni sana.

Nani kasema anaichukia Tanzania. Nasema tusaidieni na hao wakimbizi. Hatutaki lawama sisi, tuna mambo mengi.
 
Hapana. Watu wengi hapa wamepiga kelele kuwa Kagame anawasaidia wapinzani wa Nkurunziza. Kwamba Kagame ni tatizo. Sasa yeye ameamua kujivua sasa nyie ambao mnamshambulia kila siku hamko tayari kuwasaidia hao wakimbizi. That is hypocrisy of the highest order.

On the contrary ma super colossal hypocrite ni nyinyi mnao chukua wakimbizi wa kabila moja kutoka Burundi mnawapa mafunzo ya kijeshi yenye lengo la kupinsdua Serikali halali ya jirani zenu - hamna aibu hata kidogo mnafikia hatua ya ku-recruit mpaka watoto wadogo kufanya uhasi!!

Tatizo kubwa la baadhi yenu na Viongozi wenu linatokana na Ulevi wa madaraka in other words absolute Power aliyo nayo Kiongozi wenu imemu corrupt absolutely mpaka kufikia hatua ya kujisahau kabisa na kudhani mnaweza kuvuruga nchi yoyote at any time kwa kuwatumia mapandikizi ili mfanye mpendalo - not anymore.

Kumbukeni Warundi wamejizatiti kintelijensia na kiulizi ndio maana hamfurukuti, mapandikizi wenu wanadakwa juu kwa juu na ku-face MUSIC, nyie mtaishia kulalama tu kwa kuhadaa Dunia eti Burundi ni tishio kwa usalama wenu - my foot.

Mlikuwa mnatusingizia sisi ambao tulikuwa very vocal na tabia zenu za kutaka kuvuruga majirani zenu - mnasema lolote na matusi juu, mara mseme tuna chuki na Rwanda mara hatumpendi PK - uzushi mtupu.

Sasa kiko wapi, je, tuseme Taifa kubwa kama Merikani nalo linamsingizia PK?

Linapokuja suala la usanii wa kukanusha vitu ambavyo ni so obvious, hapo hamjambo kabisa! Mantra yenu ni: DENY EVERYTHING au ikiwezakana singizia interahamwe and the so-called genocide sympathizers - visingizio chungu mzima.
 
On the contrary ma super colossal hypocrite ni nyinyi mnao chukua wakimbizi wa kabila moja kutoka Burundi mnawapa mafunzo ya kijeshi yenye lengo la kupinsdua Serikali halali ya jirani zenu - hamna aibu hata kidogo mnafikia hatua ya ku-recruit mpaka watoto wadogo kufanya uhasi!!

Tatizo kubwa la baadhi yenu na Viongozi wenu linatokana na Ulevi wa madaraka in other words absolute Power aliyo nayo Kiongozi wenu imemu corrupt absolutely mpaka kufikia hatua ya kujisahau kabisa na kudhani mnaweza kuvuruga nchi yoyote at any time kwa kuwatumia mapandikizi ili mfanye mpendalo - not anymore.

Kumbukeni Warundi wamejizatiti kintelijensia na kiulizi ndio maana hamfurukuti, mapandikizi wenu wanadakwa juu kwa juu na ku-face MUSIC, nyie mtaishia kulalama tu kwa kuhadaa Dunia eti Burundi ni tishio kwa usalama wenu - my foot.

Mlikuwa mnatusingizia sisi ambao tulikuwa very vocal na tabia zenu za kutaka kuvuruga majirani zenu - mnasema lolote na matusi juu, mara mseme tuna chuki na Rwanda mara hatumpendi PK - uzushi mtupu.

Sasa kiko wapi, je, tuseme Taifa kubwa kama Merikani nalo linamsingizia PK?

Linapokuja suala la usanii wa kukanusha vitu ambavyo ni so obvious, hapo hamjambo kabisa! Mantra ya lenu ni: DENY EVERYTHING au ikiwezakana singizia interahamwe na the the called genocide sympathizers - visingizio chungu mzima.

Povu linakutoka lakini uliyoandika hapa ni pumba tu. Its very simple, since you are Nkurunziza sympathizers, wachukueni hawa wakimbizi wooote, muwahifadhi kwenu, sisi hatuwataki. Mbona ni rahisi tu.
 
Povu linakutoka lakini uliyoandika hapa ni pumba tu. Its very simple, since you are Nkurunziza sympathizers, wachukueni hawa wakimbizi wooote, muwahifadhi kwenu, sisi hatuwataki. Mbona ni rahisi tu.

Mkikosa hoja mnakuwa vituko, kama Tanzania tuliwahi kuhifadhi nyinyi na wazazi wenu tutashindwa nini kuhifadhi wakimbizi wa kweli wanao toka Burundi - usifikiri Watanzania tuko tayari kuhifadhi Warundi ambao wanatoka kwenye kambi za Rwanda,tunajua wamekwisha pitia mafunzo ya kijeshi huko Rwanda including kufanya matendo ya hujuma - hatuwezi kukubali kuifadhi watu wa namna hiyo, wapelekeni kwenye misitu ya Kongo ambako mna makambi mengine ya kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wakimbizi wa Burundi au wapekekeni huko Uganda, baadae waje kujaribu kufatilia fatilia jeshi la Umoja wa Mataifa nchini Kongo na kufanya na kujaribu kulifanyia hujuma au mnafikiri hatuna akili ya kulitambua hilo.
 
Hao watoto wa Rwanda walitakiwa kukaa vizuri na Watanzania, kuongea lugha moja kwasababu tumewalea, tumewafundisha, tumewalisha, tumewaogesha na tumewavisha. Lakini leo hii wamelewa pombe inaitwa Kagame naona wanatapita chumbani (Tanzania). Hawana shukurani hata siku moja. Wanasahau haraka kama kuku
 
Hapana. Watu wengi hapa wamepiga kelele kuwa Kagame anawasaidia wapinzani wa Nkurunziza. Kwamba Kagame ni tatizo. Sasa yeye ameamua kujivua sasa nyie ambao mnamshambulia kila siku hamko tayari kuwasaidia hao wakimbizi. That is hypocrisy of the highest order.

..Tz nako tunatuhumiwa kwamba wakimbizi hawako salama. Nkurunziza ametuma majasusi kuwinda wapinzani wake walioko kwenye makambi ya wakimbizi.

..ndiyo maana mimi na-suggest wakimbizi wa Burundi bora wapelekwe ULAYA na AMERIKA ili kuondoa lawama ambazo zimejitokeza kwa majirani ambao wamejitolea kuwahifadhi.
 
Back
Top Bottom