Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 127
1990-96 Minister of Finance Amina Salum Ali, Zanzibar (Tanzania)
1996-2005 Minister of the Treasury
1985-88 Deputy Minister of Finance, Economy and Planning
WAKATI HUU ZANZIBAR ILIKUA ECONOMICALY BETTER KULIKO WAKATI WOWOTE
and 1988-90 Minister of State of Foreign Affairs for International Cooperation.
ANA DESERVE KUPEWA HII NAFASI
In 2000 she was a candidate for the nomination for Presidential candidate of the ruling Chama Cha Mapinduzi party. From 2005 State Minister in the Chief Minister's Office.
Hapa nadhani kunawatu wanchuki binafsi, hakuna critism za msingi, kama nikuboronga kwenye maswali markwamara inatokea kwa kiongozi wowote, mlitaka apelekwe m-NIGERIA ndo mgeona kapelekwa msomi? wa TZ inabidi tujiamini na Suppotiana.
Nakama tatizo ni lugha ata TONY BLAIRE, BUSH walivuruga sana pamoja na kua lugha niyao, Blaire alishindwa kuandika TOMORROW akaandika toomorow Nyie mnaishi dunia gani?
Unampa mtu credit kwa nafasi alizoshika? Na economic condition zilizoprevail? Bia ya kutuambia alifanya nini?
Ukiniambia Ngozi-Okonjo-Iweala anastahili a high international position, ukanipa academic profile yake na kutoa achievents zake kama ku negotiate kufutwa deni laNigeria, pamoja na msururu wa vitu alivyofanya nitasikiliza, lakini ukiniambia achievement yake ni kuwa Finance Minister wa Nigeria nitakuona either una m un dersell au hana achievement.
Vivyo hivyo kwa condition zilizo prevail chini yake ambazo for all that we know zinaweza kuwa zimeachwa na administration ya Shehu Shagari au Jakub Gowon kama siyo na Azikiwe au hata toka organizations za Chief Obafemi Awolowo.
Kwa hiyo onyesha alichofanya, siyo titles zake wala alicho oversee, which by the way could be better.