Diplomasia na mahusiano: Romney hoi kwa Obama

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,349
11,114
Haya debate ya LEO Obama kafanya vizuri kila angle............ni kama Romney alikuja kusikiliza tu.
Kwenye maeneo mengi hasa sera za Marekani kuhusu China, Syria na Iran Romney alionekana kumuunga mkono Obama ingawa alimlaumu Obama kuhusu Israel...........Kwamba haonyeshi kuijali kama mshirika wao wa karibu.

Ingawa mwanzo wa kampeni Romney alionekana kuwa na plan B kwenye sera za nje mdahalo wa jana umeonyesha hana kipya.

CBS, CNN wameonyesha kwenye Polls Obama amefanya vizuri far away

Poll: Decisive win for Obama in final debate - CBS News
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom