diploma ya mapenzi!!

kajoli.com

Member
Mar 4, 2012
42
5
Kila unavyopata elimu kuhusu jambo fulani, kiwango chako cha uelewa kinakuwa juu kuliko,
Yapo mambo ingawa unayajua kabisa lakini huyapi kipaumbele kutokana na mazoea.
Katika mapenzi swala mazoea halitakiwi kila siku unatakiwa kujifunza na kuwa mbunifu.
Elimu nitakayokupa leo ni sawa na umepata diploma kutoka chuo chochote unachokiamini.
Mapenzi yanataka usafi! narudia tena usafi! kwa mwanaume na mwanamke pia.
Mwanamke anza na usafi binafsi, na kisha mazingira yanayokuzunguka. Sio mumeo anarudi nyumbani
dada kisigino mipasuko,mwili harufu ya jasho, kitanda kimevurugika,
akitaka hata maji ya kunywa vikombe vinanuka
shombo:A S 13:, aaah mwanamke mazingira bwana. unafikiri ukijiachia halafu huko mitaani tukawakuta
watanashati tutaacha kukamatika.
:mullet: Sio wanawake tuu, na sisi midume tuwe wasafi ! fyeka misitu,
kata kucha,oga daily,mke kapanga basi usivuruge na kama miguu inanuka sio unarudi halafu unawakera wengine,
pitiliza bafuni kaoshe miguu hiyo. kwa kufeli kwenye usafi tu! kunaweza kuifanya ndoa/mahusiano
yenu yasiwe mazuri.
HONGERA KWA KUPATA DIPLOMA UNAWEZA KU APPLY ZAIDI
 
hapo kwenye mambo ya usafi kwa midume nimeipenda,mana midume mingi usafi kwao homa...penda hiyo....wachaaaaneee:redface:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom