Diploma of Science UDOM!

ngaronaro

Senior Member
Sep 15, 2013
124
20
Nawasalimu sana wana jukwaa la Elimu.

Kwa wale wenye taarifa kuhusu wahitimu wa hii Diploma pale Chuo kikuu cha Dodoma maana wahitimu wa kwanza itakuwa ni mwaka kesho, nilitaka kujua tu kwa ufupi hivi hawa wataalam wetu wakimaliza pale wataenda kuwafunza vijana wetu wa Primary au wataenda kuwafunza wadogo zetu wa sekondary?

Nasikia wanasoma miaka miwili kama form five na six alafu mwaka wa mwisho ambao ndo watatu wanasoma masomo ya Ualimu.....Naomba mwenye kuwa na taarifa zaidi kuhusu hii Diploma atuwekee hapa!

Natanguliza sukurani
 
diploma miaka mitatu,kwa mfumo wa semisters 6 na sheria za university kama kawaida (supp na kudisco)
masomo mawil utakayochagua mfano ICT na Maths then education ni kwa wote
mkopo uhakika,ukimaliza utatakiwa kufundisha miaka miwil then utaruhusiwa kusoma degree kama utapenda which you can opt kusoma degree ya fani nyengine mfano aliesoma somo la maths ataweza kusoma degree ya statistics etc
 
Back
Top Bottom