Diploma in primary education

kaka miye

Senior Member
Sep 25, 2011
172
42
Jamani ningependa kujua kuwa ukisoma hii course unapanda daraja na kuwa sawa na mwenye diploma ya education yaani kulipwa mshahara huo wa diploma
 
Hii course ipo chuo gani? Mi ninachojua ni kwamba,waalimu wa msingi wanakuwa wamesoma Certificate of Education. Sasa hii ya Diploma in Primary Education siielewi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom