Diploma in clinical officer

we jumanne hamisi huku hatufanyi registration na namba yako ya mtihani hapa sio tcu..

Huyo ni wapili kuna mwingine nae alikuja na No yake ya form 4, hawa ndo wale waliokuja kisa selection za UD, tena kuna mwingine kule Facebook anatoa taarifa na kuweka reference eti kwa mujibu wa blogs za Jamii4ram kweli mwaka huu kazi ipo
 
teh teh embu tutafutie picha ya huyu msela tumuumbue hapa..
 
Watanzania bana ndo maana hatutokaa tukaendelea,,jamaaa kauliza swali,,, eti wanaanza kuongelea user name yake, nyie hiyo inawahusu nn?hiyo hapo sitairi yake!jibuni uzi acha wenge!@jf inamambo!
 
hahaha! mkuu jumanne hamis ... kama muhimbili tayari! nenda group ya muhas kule facebook wameweka PDF
 
Back
Top Bottom