Dini na Mgomo wa Madaktari!

Mjanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
1,238
324
:A S 465:Leo muda wa kuanzia saa nne usiku kuna mdahalo unaendelea Channel Ten,
kwa \title "SAKATA LA MADAKTARI, hoja iliyojengwa na ASKOFU
Gamanywa kuwa "wanajaribiwa na SHETANI" je madai haya yanaukweli kiasi gani?
au ndo yale yale ya MABEBERU kutumia dini kututawala na kutukandamiza,
je huyu askofu ana uhusiano gani na ""chama twawala" au ndo wametumika kueneza mgandaimizo wa CCM?
Je ni wakati wa madaktari kupewa nasaha na hawa viongozi???
kwa mtindo huu DANGANYIKA yenye maisha bora kwa kila mdanganyika litafikiwa??
 
Hao maaskofu ganga njaa wawahubirie watoto wasioelewa na wajinga, Mungu gani anataka mtu anyimwe haki yake?
 
Kuna kitu nimegundua, watumishi wengi wa Mungu ni watu wasiopenda/amini njia ya migomo kama jibu la matatizo. Mfano mm aftr kusimamishwa udom kuna pastor nilimuelewesha madai yetu na udhaifu wa serikali yetu yeye akasema ni shetani aliwatumia
 
:A S 465:Leo muda wa kuanzia saa nne usiku kuna mdahalo unaendelea Channel Ten,
kwa \title "SAKATA LA MADAKTARI, hoja iliyojengwa na ASKOFU
Gamanywa kuwa "wanajaribiwa na SHETANI" je madai haya yanaukweli kiasi gani?
au ndo yale yale ya MABEBERU kutumia dini kututawala na kutukandamiza,
je huyu askofu ana uhusiano gani na ""chama twawala" au ndo wametumika kueneza mgandaimizo wa CCM?
Je ni wakati wa madaktari kupewa nasaha na hawa viongozi???
kwa mtindo huu DANGANYIKA yenye maisha bora kwa kila mdanganyika litafikiwa??

huyu sio askofu ni shehhee, kwani hakuna askofu mwenye akili kama hizi by wanajf
 
Gamanywa namheshimu sana, tatizo lake hawezi kuficha hisia zake za kimagamba magamba
 
huyu sio askofu ni shehhee, kwani hakuna askofu mwenye akili kama hizi by wanajf
Ndugu yangu wewe nadhani umepungukiwa na busara huko unakokwenda ni kubaya na umekata tamaa hii maneno sio mazuri sana unakwaza Imani na viongozi wa wenzako sasa Kama unadhani ni kitu kidogo nakuambia haya ndio mambo yatakayo chafua nchi yetu km tukiyaendeleza.

Fikiria watoto wetu wataishi vp siku za usoni kwa hakuna jinsi nchi hii wakabaki Muslim tu na hakuna jinsi nchi hii wakabaki Christians tu, kwahiyo nijukumu letu kupinga kwa nguvu zetu zote bila ya kujali tunapata maudhi na kukerwa kwa kiasi gani na baadhi ya wenzetu toka pande zote mbili Kwani kuna extremist pande zote.
 
Ukwel hautokengeushwa na dini,elimu,kabila,rangi,au vyovyote vle, nasema UTASIMAMA daima milele!Haki ya watu haibabaishwi na dini wala elimu yetu!
 
Natamani wakulima nao wagome Nchi nzima, mwaka mmoja!
 
Tusiogope kusema ukweli, hasa pale ambapo ukweli unapindishwa na haki za watu kulaliwa!
hawa watu wanatumia Vitabu Vitakatifu kutufanya watanzania kuwa wajinga na kubakia
mtaji wa wachache tuliowapa jukumu la kutuongoza! na hii ni kwa sababu hata wengi
wa hawa wanaojihita watumishi wameweka matumbo yao mbele kuliko Mioyo ya
waumini wao! Ndo maana ukiwaangalia kupitia TV wana tangaza account zao za Mpesa, Tigo pesa n.k!
HADUDANGANYIKI TENA, TUMECHOKA!

Back
Top Bottom