dini,elimu,vinatukwamisha...

princesitor

Member
Oct 7, 2012
31
1
hellow,me ni new member jaman naomben ushaur wenu,me ni gal na nnaishi na boy ila hatujafunga ndoa nampenda sana na yeye ananipenda pia bt problem ni din ze2 me ni mkristo tena mlokole na yeye ni muislam hamna aliyetayari kubadili dini nampenda kuachana tumeshindwa na ameshanitambulisha adi kwao,pia anahofia tofauti ya elimu zetu kwan yeye ata la saba hajamaliza na mimi nipo chuo kikuu pia hali zetu za maisha ni tofauti ila pamoja na ayo yote nampenda sana na nimetumia fedha zangu nyingi 2 ili kumuwezesha
 
anafanya kazi gani? Elimu hamna sawa kipato je?asije akawa mzigo shosti
 
kha!! wee mlokole gani una cohabbit? mapya haya!!
wewe kama dini ni kipengele muhimu maishani mwako basi ni vyema mkabwagana tuu....nothing gug with come out off this relationship
 
Pole xana but ucjali ndo umeambiwa utamwacha baba yako na mama yako ucjali kuhusu dini tanzania hakuna udini wote tunamwabudu Mungu mmoja zidisha maombi ntafanikiwa 100%-)
 
Sijuw nianzie wapi?
Wewe mlokole??
Kuna dini au dhehebu linalobariki uzinzi? Je ulimpataje?hadi kukubali kuishi nae mlikubalianaje?
Elimu weka kando,je anaupeo na uelewa wa kutosha kuthamini unachomfanyia?yani anaelewa kuwa unafanya kwa huruma au mapenzi?jaribu kuwaza apo.
Dini,hapo inategemea.
Wewe unadai umeokoka,unamatazamio gani na YESU wako? Na unampango gani na jamaa? Pili, em mshirikishe MUNGU kwa upya,hakuna linaloshindikana. Atawapa tu amani kwa yote mtakayoamua.
Hata kama ndo mapenzi, at the end kila mtu atawajibika kivyake huko aendako.
 
Swts umesema ambayo nami nilitaka kusema. bt ngoja niongezee kiduchu.
Mtoa mada umesema we ni mlokole, sasa umewezaje kuishi na mwanaume bila kufunga ndoa, ulokole wako utakuwa jina tu na sio matendo. pili kuhusu dini kama kila mmoja ataridhia mwenzie kubaki na dini yake its ok cha muhimu kila mmoja aheshimu imani ya mwenzie. kuhusu elimu kama una uwezo wa kumsomesha naye akawa willing kusoma its better akasoma kwani elimu haina mwisho. . .
 
Last edited by a moderator:
Pole xana but ucjali ndo umeambiwa utamwacha baba yako na mama yako ucjali kuhusu dini tanzania hakuna udini wote tunamwabudu Mungu mmoja zidisha maombi ntafanikiwa 100%-)

thanx nawe pia pray 4 me ktk hili.
 
nan kasema walokole hawafi kifo cha mende..

:focus:..bado sijjajua wataka msaada gani
 
nan kasema walokole hawafi kifo cha mende..

:focus:..bado sijjajua wataka msaada gani

jaman mbona mwani elewa vibaya nimesema nimemwambia m2 m1 apo familia ni ya kilokole issue ni kwamba hatuelewi 2fanyaje coz kwao hawatak mwanamke mkristo (na mimi ckotayar kubadili dini).pia kwe2 wanasema mwanaume gani hana elimu,pia ni muislam xo tayar 2naishi wote kitambo na wazazi 2mewajulisha ivi karibun ndo wanazingua .hope nw umenixoma mkubwa
 
em tizama unavyojikoroga mwenyewe.hapo kwenye red.. uko chuo kikuu kipi?????
 
Nasikia kuna watu wanabadili Ukoo sembuse dini?
Muombe Mungu sana akuoneshe njia!
 
jaman mbona mwani elewa vibaya nimesema nimemwambia m2 m1 apo familia ni ya kilokole issue ni kwamba hatuelewi 2fanyaje coz kwao hawatak mwanamke mkristo (na mimi ckotayar kubadili dini).pia kwe2 wanasema mwanaume gani hana elimu,pia ni muislam xo tayar 2naishi wote kitambo na wazazi 2mewajulisha ivi karibun ndo wanazingua .hope nw umenixoma mkubwa

Luhga yako inatia kinyaa....
xo ndo nini..?
 
Back
Top Bottom