Dina Marious wa Clouds FM: Mtangazaji anayekuja juu!

Nashaga!!!

You know what? wakisikiaga tunawin maisha hapa mujini wanatuonea jelosity. that's why wanataka kummariza kiaini kwa kuwa anapasua anga kama vire meri inavyokatiza zire anga za kaishozi
 
Last edited:
Mkuu ulipotea kiaina. Watu wamekuchokoza zana humu ndani na mpwao. Haya twambie mkuu, kina mama ndo wa kuchukua likizo fupi peke yao? Au wamaanisha nini weye?

Mkuu nipo naandaa vekesheni fupi kidogo lakini nipo sana.
Yeah akina mama wanamajukumu mengi mno kuliko wanaume na wanafikiri mambo mengi na makubwa makubwa kuliko wanaume kwa hiyo akina mama ni wa kuwaonea huruma hata akisema amechelewa kazini mwonee huruma.
 
Lol! Mzee nilifikiri nilidhani unamaanisha ni kwa sababu ya ugeni wa wekundu wa kila mwezi.
 
Teh teh teh nao unachangia najibrekisha Mwakareli kwa Mwakalinga kula mindizi na maparachichi dah si n'chezo.
 
Mkuu kumbe uko mbali na benki kuu? Salimia Tukuyu. Huko utakutana na n'hangushage mwee za kumwaga.
 
Si unajua watoto wa kule laiiiiiini wanatumia vipodozi vya parachichi hawana gharama alafu wengi wao ni black beauty we acha tu lazima ni enjoy mkuu.
 
Usisaha na mausafiri yao ni BMW na makalio yao mashallah! Ukipata looser mmoja wa kueleweka usisahau kuniPM. Mbeya si mbali.
 
hehehehe umenikumbusha kuna siku nilipanda daladala na mama wa kinyakyusa back bencha tulikaa wa 3 mm katikati niliminywa balaa siti ikawa imeenea toka Uyole mpaka Mwanjelwa dah nilishangaa kuona wanalipa nauli ya kawaida.
 
...Ni-PM mazee unitapatie mobile namba yake mtoto ana vitu adimu huyu!!

Nenda dinamarios.blogspot kaweka namba ya simu.Huu mtindo tiliouanza karibuni wa kuitana Wahaya,Wachagga,Wakristu,Waislamu etc utatugawa jamani.ukishajuwa ni Mtanzania mwenzako inatosha tuwe wazalendo na sisi tuliosoma tuoneshe mfano.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom