wanaishi kwa umbea
wanalala kwa umbea
wanakula kwa umbea
wanakunya kwa umbea
wanasutwa kwa umbea
wanapigwa kwa umbea
ndoto zao ni umbea
ni uzao wa umbea
ni laana za umbea
kila kitu umbea
wakiacha watakufa:bored:
khekhekehehheeee hehehe ekekeeeheheheeee, hihiiiii hiiiiii
Soory kuuliza si ujinga huyu Reuben Ndenge ndio nani?View attachment 26247Hakika mwa pendeza nyie, lkn msikomee njiani.
Huu udaku,, ila pale malijali wachache ukihesabu , chap chap malijali labda Wanaume kama mabiti aka Gardner Habash, E. Kibonde. G.Hando. P .James, and R. Ndege, wengine wote walio baki dah kuna mashaka makubwa .
Leo tena itapwaya sana......gea habib nae mjamzito mda si mrefu wote watakua likizo ya uzazi...
wanaishi kwa umbea
wanalala kwa umbea
wanakula kwa umbea
wanakunya kwa umbea
wanasutwa kwa umbea
wanapigwa kwa umbea
ndoto zao ni umbea
ni uzao wa umbea
ni laana za umbea
kila kitu umbea
wakiacha watakufa:bored:
khekhekehehheeee hehehe ekekeeeheheheeee, hihiiiii hiiiiii
Nadhani ni kawaida tu..........ndio maana pia wake za madokta ni manesi kwa asilimia kubwa.........Iyo clouds media ni love connect,Ruge alizaa na Mketema,haya Uyo Dina na Reuben. Wanagegedana wenyewe kwa wenyewe.
Dina Marios katangaza leo kuwa ana mimba ya Reuben Ndege.