Dina marios na harufu ya uke....live clouds fm

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo wtu wakizungumzia arufu ya uke ni kosa na wehu wakati ni masuala ya usafi tu hapa.
 
Naona mtoa mada anaturudisha enzi za rtd.sioni ubaya wa hiyo topic ukizingatia hiyo redio inawalenga vijana zaidi na changamoto zao.yupo dd m1 alikua kila siku ananitafuta nimpe gundi ya viatu anuse,tena alikua ananifata kutoka mbali,kwa ajili hiyo.je arufu hiyo ni nzuri kwako?
 
Ukifanya kazi pale Clouds kipindi unaandaa mwenyewe Edit ya vipindi unafanya mwenyewe wala hupati shida mifano mizuri sikiliza vipindi vya kina Hando ni kina Kibonde! ukitaka kusikiliza vipindi vya Clouds unatakiwa uwe mwehu!

your totaly ryt,,,, huyo meneja wao wa vipindi mwenyewe {Sebastian Maganga} sijui kama taaluma aliisomea so haishangazi................
 
aisee all in all uke una harufu nzuri...k chache tu ndo zinatema...just saying
 
labda yeye zmechemka coz haikua lazima kusoma kila message kutoka kwa ndugu wasikilzaji kwa kuzingatioa kwamba kuna wengine wamepinda na wnaandika matusi...So kosa bado lipo kwake kama uke ni tusi ila kama ni kiungo tu kama viungo vingine na harufu yake ni kama harfu za viungo vingine basi hamna shida kutaja live ....ukizingatia neno uke ni tafsida kubwa tu tofauti na kusema k*ma
 
Ukifanya kazi pale Clouds kipindi unaandaa mwenyewe Edit ya vipindi unafanya mwenyewe wala hupati shida mifano mizuri sikiliza vipindi vya kina Hando ni kina Kibonde! ukitaka kusikiliza vipindi vya Clouds unatakiwa uwe mwehu!

Dinna mwenyewe mbayaaaa! sijui atakuwa na boyfriend au? boyfrien wake atakuwa na wakati mgumu wa kumvutia hisia! mwanamke kama mwanaume bwana?
 
Hyo redio ipo poa, tatizo mfumo wao wa adabu na maadl kwa watangazaj wao n ziro kabisa..mara nyng wanaongelea ishu zao binafs badala ya matakwa ya jamii!
Nakmbuka wakat inaanza baadh ya vpnd vlkua n sehemu ya umbea,kuchambana na mipango ya kuchkulia 'mabwana'...mmesahau?Sku moja nlshaskia mtangazaj anampa house gel wake maagzo on air...
Bure kabisa hao watu....
 
Ndallo acha kupotosha watu, watangazaji wa Clouds Fm wanao waandaaji wa vipindi vyao tofauti na upotoshaji wako. Power Breakfast kinaandaliwa na Jimmy Francis, Jahazi linaandaliwa na Simon Simalenga, XXL muandaaji ni Soud Brown, Leo Tena inaandaliwa na Moshi Habib na vingine vingi vinawaandaaji wake.


Na ule uharo wa Kibonde Maji ndio unaandaliwa na Simon Simalenga?
Dah nahitaji kumjuwa
 
mnataka redio zote waongelee siasa.....hilo ni swala la kijamii,tc tru kwenye society kuna wa2 wanavutiwa na harufu mbaya fulani....cjaona wehu wowote katika kuadress hyo matter....

Birds of the same feathers!
 
Mleta mada!! Ni mtangazaji gani wa cloud's fm ana BACHELOR DEGREE OF MASSCOMUNICATION OR JOUNALISM? Ukinipa jibu ntachangia mada!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom