Dili ya kuchora

2mainiR

Member
Sep 1, 2011
5
0
Mimi ninakipaji cha kuchora, ila sina vifaa.
Na pia uwezo wa kufanya kazi zikawa nzuri na za kuvutia bado ni mdogo, kutokana na kutojishuhulisha mara kwa mara na kazi hii. Nina marafiki zangu wa America na Ulaya ambao wamekuwa wakinishauri mara kwa mara nichore picha kuonyesha vitu mbalimbali vya asili ya kitanzania hasa vivutio vilivyopo n.k. Then niwe nafanya export nao watanisaidia as agents, pia nitengeneze blog kwa ajili ya advertisement. So ninahitaji M2 mwenye experience to make hii dill na pia anisaidie kunoa kipaji changu coz naipenda. Zaidi tuwasiliane kwa 0713865172.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom