Dili, wabongo changamkieni

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Kuna dili la uhakika nililodekezewa na marafiki zangu wa maana na wenye wadhifa kuwa serikali ya South sudan inatafuta watanzania educated waende wakashike wadhifa mkubwa kwenye sekta mbali mbali kama TRA ya kule n.k…..kama mwenye kuhitaji aniandikie private message….changamkieni dili wakulu.
 
kuna nafasi ya uwaziri wa nishati?.....nataka nikawe waziri wa nishati huko nije kuwauzia watanzania umeme.
 
Mkuu Yo Yo,

Yana uhakika haya mambo kweli? isije ikawa kama ile dili ya jamaa yetu FMES.....ya kuchangia USD 300 etc? Ngoja nikurushie PM!
 
mkuu yoyo, wewe ndio unawasaili watu au? Tuku PM, kwanini wakati nafasi za kazi huwa, zinatangazwa na address husika ili maombi yafike, lakini naona unafanya siri as if una ajenda ya siri. Kama kuna kiasi cha fedha kinahitajika weka wazi, ili wana JF: wajadili kwa kina, ili kuepusha watu wasije kuingizwa mkenge
 
Kuna dili la uhakika nililodekezewa na marafiki zangu wa maana na wenye wadhifa kuwa serikali ya South sudan inatafuta watanzania educated waende wakashike wadhifa mkubwa kwenye sekta mbali mbali kama TRA ya kule n.k…..kama mwenye kuhitaji aniandikie private message….changamkieni dili wakulu.
Mkuu, cheki inbox yako halafu unipe jibu!!!
 
Mkuu Yo Yo,

Yana uhakika haya mambo kweli? isije ikawa kama ile dili ya jamaa yetu FMES.....ya kuchangia USD 300 etc? Ngoja nikurushie PM!
Hapana mkuu.....haifiki USD 300...dili hili haliwezi free of charge halijatolewa na UN ni agency ambayo imechukua kama tenda ua kupeleka rasilimali watu kule.....wakuu ni deal u know wat i mean.....so haliwezi kuwa free....
 
Hapa mapopo hawapo?
 
Toa Contacts zako na uwe more specific kwenye hizo nafasi pamoja na uthibitisho, tamka vile vile kama kuna haja ya familialization visit, applicable language knowledges etc.
 
Yo Yo ndugu yangu hii nchi ilivyo hata wakinitaka sasa hivi nahama na familia yote umeme tabu, hospitalini mwananyamala wanacheza deal hadi na miili ya vitoto vichanga, maji taabu, kazi kujuana juana tu. Sema kule si ndio kuna Sharia???
 
hapana mkuu.....sharia ipo juu Khartoum....south ni kristo tu.....
 
Ukitaka kuwekeza huko, ni lazima uwe na mwenyeji kama director wa kampuni inayo wekeza na huyo mwenyeji anapata 40% of the profits yet yeye haja ngaramia huo uwekezaji. It's very unfair lakini hamna vinginevyo. Alafu wakati mwingine atataka ku-run hiyo biashara na ukikataa, unanyanganywa biashara yako na ukiwa na bahati utakuwa deported tu lakini wasio kuwa na bahati ya deportation wanauawa. Wakenya wengi wameporwa biashara zao hivyo na wengine wakapoteza maisha lakini i'm hoping with the referendum na sheria mpya, haya masuala yatatatuliwa na mambo kuwa salama. Business prospects ni nyingi na employment opportunities kibao hata kwa akina mama ntilie.
 
Kuna dili la uhakika nililodekezewa na marafiki zangu wa maana na wenye wadhifa kuwa serikali ya South sudan inatafuta watanzania educated waende wakashike wadhifa mkubwa kwenye sekta mbali mbali kama TRA ya kule n.k…..kama mwenye kuhitaji aniandikie private message….changamkieni dili wakulu.

Mzee namkumbuka FMES na kazi za majuu!
 
Back
Top Bottom