Ijuganyondo
Member
- Jan 13, 2011
- 62
- 1
Wanajamii naombeni mnishauri nifanyeje,kuna msichana mmoja nilikuwa nampenda previously but baadae tulihitilafiana nikamtema na nikampata nnae mpenda saaana.Sasa huyu wazamani anacomplain sana na anadai hajawahi kumpenda mwanaume kwa kias alichonipenda mimi na ni kweli maana tangu tuachane 2years ago wanaume kibao wamemtokea na nina evidences lakin kawatosea,so nifanyeje wakati me nampenda zaid yule mwingine??help me please a'm starving!