Huku sidhani atasubutu kuingiza kapua kake. Unless aje atuelezee jinsi Nyerere alivyokuwa "failure." Hana singo mpya huyu bibie.Nasubiri mchango wa faizafoxy lol
Huku sidhani atasubutu kuingiza kapua kake. Unless aje atuelezee jinsi Nyerere alivyokuwa "failure." Hana singo mpya huyu bibie.Nasubiri mchango wa faizafoxy lol
Ooh no.. Nyerere tu.. at the time.. his voice was unique and lone one!
Ndiye huyo huyo minister of external affairs. Nimemwona pia marehemu balozi Mang'enya.Hivi yule pembeni ni Kambona?
Hivi yule pembeni ni Kambona?
Ndiye huyo huyo minister of external affairs. Nimemwona pia marehemu balozi Mang'enya.
Mobutu alikuwa darling of the CIA. Ndiye aliyemwuua Lumumba. Marekani wakisema our man in Kinshasa walikuwa wakimaanisha huyu jamaa.mbona Mobutu naye alikuwa anapeta sana huko washington?check mapicha ya the boss!!
Mkuu nadhani jamaa hakusoma ndani amesoma heading tu akaanza kuandika bila kujua content. Nadhani atasoma content na kuhariri ama kufuta andiko lake. Au tumuombe athibitishe kwa maandishi kuwa MMMM amemshambulia Nyerere? Kama hatathibitisha kwa maandishi sheria zifuatwe!!!
Umekwisha toa thank you to Mrdash1 au ndio sasa unamuelewa. Hivi kumuelewa asie elewa tuiteje? MMKJJ endelea watatuchelewesha watu namna hii, tayari wana fikra mgando, shepe hawaiti tena shepe bali ni kijiko kikubwa.nimekuelewa umeongea ukwli mtupu.
The Boss, unahangaika na utahangaika sana - najua unaumia sana lakini Mwalimu (rip) alipewa heshima siyo Marekani tu bali Ulaya, Urusi hadi Uchina na kote huko aliacha kumbukumbu kwa msimamo wake thabiti na usioyumba. Viongozi wengi kutoka nchi mbalimbali duniani walipigana vikumbo wakitaka kupata maoni yake kuhususiana na mambo mbalimbali.Nasubiri mchango wa faizafoxy lol
The Boss, unahangaika na utahangaika sana - najua unaumia sana lakini Mwalimu (rip) alipewa heshima siyo Marekani tu bali Ulaya, Urusi hadi Uchina na kote huko aliacha kumbukumbu kwa msimamo wake thabiti na usioyumba. Viongozi wengi kutoka nchi mbalimbali duniani walipigana vikumbo wakitaka kupata maoni yake kuhususiana na mambo mbalimbali.
Mchango wa Mwalimu hata humu barani Afrika hauwezi kubezwa na mtu yeyote yule isipokuwa yule mwenye malengo maovu na ajenda za wivu zilizotawaliwa na uwongo. Mwanakijiji anatutayarisha tu tuwe tayari kwa upuuzi wa watu hawa wanaojaribu kuupindisha ukweli kwa kubuni historia zilizojaa simulizi za uwongo kuhusu Mwalimu na wao kwa ujinga wanaziamini.
Pia kuna kitabu alikiandika Mwalimu kuhusu Uchumi na hadi leo kinatumika kwenye vyuo mbalimbali nchini Marekani (nitatafuta jina).
Mwanakijiji umemwita Nyerere "Dikteta"??
wewe ulitaka aitwe nani ? Mungu, Malaika,Mfalme...?
of course kwa sababu mashambulizi dhidi yake yanakuja; subiri tu huko Bungeni na kwenye majukwaa yao. Si unajua madikteta wanavyochukiwa..
Mwanakjj,
Hii umeipata wapi? Naomba utafute na ile ya 1977. Just for comparison's sake, ziara ya Kikwete kukutana na Obama ilitugharimu $500k.
hahahaaaa....
Alikua anaenda YUNO - UNO na UN iko Nyuyoko kwahiyo YUNO ingekua Brasil basi ndipo angekwenda au kama ingekua Ikungulyabhashi ndipo angeenda.... JK is different
Mkuu, you have missed MMM point, subiri utaona, mwanakijiji is just satirically lighting up the house and pre-empty a few bagels who usually come here for preambles and pH testing
Mbona Nyerere anaonekana hapa bwana mdogo fulani, teh teh teh kama miaka 25 hivi. Hivi hapo alikuwa na miaka mingapi?