Digital Television Tanzania

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Kuna wakati ilisikia kwamba kuna mpango wa kuanzisha digital tv Tanzania. Kuna mwenye habari za maendeleo ya mchakato huo?

Sijawahi kusikia chochote juu ya maendeleo ya mradi huu ila ilitangazwa kuwa target ya kuanza ni 2012

nadhani ndio hio unsaikia kitu inaintwa King'amuzi.Na kwa mgongo huo ndio startimes ikaingia na kupata mahali pa ofisi pale TBC

Kuna wakati ilisikia kwamba kuna mpango wa kuanzisha digital tv Tanzania. Kuna mwenye habari za maendeleo ya mchakato huo?

AAAAAAAAAAh Mkuu mbona hiyo imeanza kufanya kazi siku nyingi? Hujawahi kusikia decoda za Startimes za TBC na Decoda za TING za ATN? Hawa ndo waliopewa vibali na TCRA kuanzisha Digital TV ambapo wengine watanunua air waves kutoka kwao. Kama bado hujanuanua hizo decoda na unaendelea kutumia antena za chadema basi ujue kuwa unapata masafa kupitia mitambo ya analogue ambayo kisheria itazimwa mwaka 2012 na hutaweza kupata hata channel 1 kwa antena ya chadema. Hivyo nunua decoda yako mapema.

Mradi mwengine wa Kifisadi unakuja, Mradi huo kuna Kigogo wa Magamba yupo nyuma yake

Baadhi ya tv zinayo uwezo wa kureceive digital transmission bila kutumia decoder,ajabu hata hiyo tbc ambayo ndio tv ya taifa haipatikani.

AAAAAAAAAAh Mkuu mbona hiyo imeanza kufanya kazi siku nyingi? Hujawahi kusikia decoda za Startimes za TBC na Decoda za TING za ATN? Hawa ndo waliopewa vibali na TCRA kuanzisha Digital TV ambapo wengine watanunua air waves kutoka kwao. Kama bado hujanuanua hizo decoda na unaendelea kutumia antena za chadema basi ujue kuwa unapata masafa kupitia mitambo ya analogue ambayo kisheria itazimwa mwaka 2012 na hutaweza kupata hata channel 1 kwa antena ya chadema. Hivyo nunua decoda yako mapema.

Maelezo yako ni sawa lakini kwenye Nyekundu kuna marekebisho kidogo.
Star Tv na ITV hawako TING wala STAR TIMES watakuja na decoder yao.
Lakini pia wasambazaji wa cable wanaweza kuendelea kutoa huduma hata baada ya mitambo ya analog kuzimwa 2012 kwani wao wanaweza kuwa na decoder hizo na kuendelea kuuza channel kama kawa.

Asante. Hivyo ving'amuzi vinauzwa kiasi gani?

Hebu tuwekee wazi hizo tv ambazo zinapokea mawimbi ya digital bila decoder mkuu nasi tufaidike nazo.

hivi sie wa madongo kuinama i mean huku vijijini hizo digital tv tutapata kweli maana startimes ni miji saba tu na si mikoa saba !

Maelezo yako ni sawa lakini kwenye Nyekundu kuna marekebisho kidogo.

Star Tv na ITV hawako TING wala STAR TIMES watakuja na decoder yao.

Lakini pia wasambazaji wa cable wanaweza kuendelea kutoa huduma hata baada ya mitambo ya analog kuzimwa 2012 kwani wao wanaweza kuwa na decoder hizo na kuendelea kuuza channel kama kawa.

Mkuu mbona hao star tv wanapatikana kwenye decoder za ting! Hata itv na chanel5 walikuepo isipokuwa kwa siku za hivi karibuni, itv na chanel5 hawaonekani.

heeee mbona havina mambo ya maana kihivyo
str tme ,mmm naangaliaga chanel chache sana

AAAAAAAAAAh Mkuu mbona hiyo imeanza kufanya kazi siku nyingi? Hujawahi kusikia decoda za Startimes za TBC na Decoda za TING za ATN? Hawa ndo waliopewa vibali na TCRA kuanzisha Digital TV ambapo wengine watanunua air waves kutoka kwao. Kama bado hujanuanua hizo decoda na unaendelea kutumia antena za chadema basi ujue kuwa unapata masafa kupitia mitambo ya analogue ambayo kisheria itazimwa mwaka 2012 na hutaweza kupata hata channel 1 kwa antena ya chadema. Hivyo nunua decoda yako mapema.

Hebu tuwekee wazi hizo tv ambazo zinapokea mawimbi ya digital bila decoder mkuu nasi tufaidike nazo.

Tv yeyote ilokuwa na in built digital tuner inaweza kupokea mawimbi ya digital. Muhimu kuwepo digital transmission station zinazo peperusha free content jambo ambalo tbc ilitakiwa kutekeleza bila kupitia care of startimes.(sijui ndo ufisadi or somethng else). Ili kupokea station kwa kutumia digital tv kunahitaji aerial ya kawaida UHF and VHF mfano rabbit ear.

Kuna wakati ilisikia kwamba kuna mpango wa kuanzisha digital tv Tanzania. Kuna mwenye habari za maendeleo ya mchakato huo?

Nadhani ulikusudia mchakato wa kutoka kwenye analogue transmission to digital.Kama ni hivyo,hiyo ilishanza siku nyingi that's y unaona makampuni kama star times,wale wengine wa ting et al ni katika jitihada ya kufanya TV stations zote ziondoke kwenye mfumo ule wa awali kuja huu wa digital.That's what i know,tuwasikilize wadau wenye kujua zaidi kama unahitaji ufafanuzi wa kina.I'm out

Asante. Hivyo ving'amuzi vinauzwa kiasi gani?

Currently tuna hao STAR TIMES na TING bei zinatofautiana.Jaribu kufuatilia ATN especially asubuhi huwa wanatoa mara kwa mara matangazo kuhusu bei ya ving'amuzi vyao.STAR TIMES unaweza kuwatwangia 0767000705 watakupa ufafanuzi.All the best.

ANGALIZO:
Siyo kwamba mikoa yote imeshafikiwa na huduma za hawa jamaa,so ni muhimu kucheck pia kama mkoa ulipo(kama upo Upcountry) una hizo huduma.

Kuna wakati ilisikia kwamba kuna mpango wa kuanzisha digital tv Tanzania. Kuna mwenye habari za maendeleo ya mchakato huo?
Jana Kikwete ndio kaizindua rasmi.
Kwani inafanya kazi kivipi ukilinganisha na hizi tulizonazo.Mbona tunaona vizuri tu.

Je na sisi tunaotumia satelite dish na receiver tutaathirika na hayo mabadiliko mwaka 2012?

worry out mkuu, satelite dish inatumia receiver ya digital so utakua hewani, bila shaka unatumia free to air receiver MFT-930+.

ving'muzi havina mpango, channel zao zote ni zile za free to air kwenye satellite, kwa hiyo ni bora kinunua satellite receiver uta save buku 10,000 kila mwezi.

Back
Top Bottom