Digital printer

Chief Lugina

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
286
76
Please kwa yeyote anayejua machine za kuprint mabango,graphics,kalenda,brochurers t-shirts katika size mbali mbali,plz naomba aniambie zinaitwaje na zinapatikana wapi hapa bongo. Pia kama kuna mtu yeyote anamaelezo zaidi juu ya hizi printer/machine naomba aniwekee ikiwa pamoja na ku-suggest iliyo nzuri. Nimekurupushwa na jamaa yangu anataka kufanya hii biashara,na mimi kama freelancer wa IT ameni-concert tatizo sina uzoefu na hizi mambo... U'R ASSISTANCE WILL B APPRECIATED!
 
Back
Top Bottom