Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Digital Camera imeokotwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Abraham Moshi, Jul 20, 2012.

 1. Abraham Moshi

  Abraham Moshi Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Canon Digital Camera imeokotwa tarehe 10/07/12 saa 11 jioni maeneo ya Ubungo stand ya Mlandizi, mwenyewe alitafutwa kwa muda huo haukupatikana. Tafadhali kama kuna mtu anamjua aliyepoteza Camera tuma comment tafadhali  [​IMG]

   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,603
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  heri wenye moyo safi....maana hao watamwona MUNGU
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,880
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mkuu ubarikiwe sana kwa moyo huo,ninaimani atapatikana mwenyewe
   
 4. Abraham Moshi

  Abraham Moshi Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni vema akapatikana mwenyewe maana kuna photos nyingi alizozipiga, msibani na nyinginezo
   
 5. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,035
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  ilikuwa haina picha ? kama kuna picha upload them tunaweza tukawatambua kisha mwenye kamera kujulikana,
   
 6. Abraham Moshi

  Abraham Moshi Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Picha zipo ntafanya hivyo
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 15,692
  Likes Received: 1,830
  Trophy Points: 280
  Sorry,
  Wewe ni mlokole??
   
 8. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,340
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wote tungekuwa kama wewe nchi ingeendelea sana, tusingekuwa na mafisadi. Big up
   
 9. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,034
  Likes Received: 806
  Trophy Points: 280
  Hongera sana mheshimiwa!!Mungu akubariki sana,hakika umenipa moyo kuwa kumbe ndani ya dunia hii iliyojaa kila aina ya dhuluma,bado kuna watu wema wachache na wewe ni mfano hai!!
   
 10. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,034
  Likes Received: 806
  Trophy Points: 280
  Hongera sana mheshimiwa!!Mungu akubariki sana,hakika umenipa moyo kuwa kumbe ndani ya dunia hii iliyojaa kila aina ya dhuluma,bado kuna watu wema wachache na wewe ni mfano hai!!next time ntakuombea Mungu uokote gari lenye card yenye jina na utambulisho wako.
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 8,428
  Likes Received: 891
  Trophy Points: 280
  una maana asiye mlokole hawezi kutangaza?
   
 12. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,705
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  nbona bado hujaapload au ulikua unatania
  weka picha unaweza kukuta ni ya jamaa yake kova
  walikua wanafanya shuting ya ile movie yao mapwepande na mkenya wao ft mchungaji
   
 13. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,009
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sio rahis kuamini hii kitu,
  ongera sana kwa moyo safi, mungu akubariki
   
 14. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3,001
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ebana Mkuu Msamalia Mwema hata mimi Nilipoteza Funguo ya Gari Aina ya Verossa kama ulinionea Tafadhari
   
 15. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,574
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Na wewe ulikuwepo maeneo hayo ya Ubungo siku hiyo?
   
 16. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,099
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unabahati mwezi mtukufu huu
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 9,567
  Likes Received: 973
  Trophy Points: 280
  Wekana facebook mkuu mimi natoashukurani kwa niaba!!
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,956
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145


  Safi sana Kamanda! Fanya hivyo!
   
 19. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,426
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tunasubiri picha mkuu ili itufundishe ustaarabu tuliousahau zamani. Naungana na mchangiaji wa kwanza.
   
 20. Abraham Moshi

  Abraham Moshi Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Vuta subira natafuta cable ya ku upload
   
Loading...