Differences btn love n friendship

jockey emmanuel

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
330
50
1.Love starts with eyes,grows with a kic and ends with tears.but friendship starts with a smyl,grows with understanding n ends with death.

2.Wen u are in love,u giv ur whole heart 2 ur lover n he/she breaks it... but in friendship,u giv ur broken heart 2 a frnd n he/she meks it


add some more....
 
we always choose someone to love (cheat) but not someone to be a friend. Friendship come automatically ... mpo hapo.
 
Kwa penzi ulilosema livyoanza lazima litakufa tu!Penzi la kweli halianzii machoni,machoni inaanza tamaa!
 
Kwa penzi ulilosema livyoanza lazima litakufa tu!Penzi la kweli halianzii machoni,machoni inaanza tamaa!

Mwanzo wa penzi ni tamaa, then unaanza ku-reason faida na hasara za mahusiano unayotaka kuingia. Ukibase kwenye physical things utajijua mwenyewe. Ukizama kwenye vitu visivyoonekana kama vile tabia na background ya mwenzio na ukafanikiwa kupata real real data shukuru Mungu utakuwa umepata mwenza mwema.
Makuzi yanachangia sana kuharibu mahusiano.
 
Mwanzo wa penzi ni tamaa, then unaanza ku-reason faida na hasara za mahusiano unayotaka kuingia. Ukibase kwenye physical things utajijua mwenyewe. Ukizama kwenye vitu visivyoonekana kama vile tabia na background ya mwenzio na ukafanikiwa kupata real real data shukuru Mungu utakuwa umepata mwenza mwema. Makuzi yanachangia sana kuharibu mahusiano.
You are a really really Tutor! Nakubaliana kabisa na wewe khs suala la Makuzi yanachangia sana kuharibu mahusiano, nimelishuhudia sana hilo mitaani! Thanks for that mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom