Didn't You see This Coming?

Astaghafirullah....mstaafu Dark City upo wapi kaka?

...wakati tunafunga mwaka 2011, tuliazimia mwaka 2012 uwe ni mwaka wa kuokoa na kudumisha ndoa, full stop!
MwanajamiiOne maneno gani tena haya unayaleta january hii, ewe soulmate?

MJ1,

Unajua nini,..... kila anayefuga misukule, huamini kuwa haiweza kuamka hata siku moja...Ndiyo maana msukule ukiamka lazima mmiliki abaki kinywa wazi!!

Babu DC!!
 
love is a game like any other,it depends on who emerges as the victor...dalili tunaziona lakini tunasubiri wapenzi wetu wateleze kidogo tu tuwalaumu kuwa wao ndio wamesababisha tuachane hili kuepuka gilty conscious
 
Astaghafirullah....mstaafu Dark City upo wapi kaka?

...wakati tunafunga mwaka 2011, tuliazimia mwaka 2012 uwe ni mwaka wa kuokoa na kudumisha ndoa, full stop!
MwanajamiiOne maneno gani tena haya unayaleta january hii, ewe soulmate?

Hahahahahahahah

Ahsante sana swahiba,

Nipo ila bado sijamaliza mning'inio wa maombolezo ya dada yetu RM....

Anyway, nimefurahi kuona kwamba bado tunaendelea kutelekeleza ahadi yetu ili tusije kuitelekeza kama kamanda wetu wa hii nji ya bongo!!

Haya basi....kwa nini wewe umfanyie mwenzio visa halafu kila siku ufikirie kuwa yeye ni punching bag tena uliyoinunua kwenye flea market au yard sales kule kwao na Mh Raisi (NN)!!!

Karibuni dinner kabla hakujazama kwenye hii mada nzito...

Babu DC!!
 
Shem umeongea ishu ya maana sana, hakuna kuachana ambako hakuoneshi ishara bana ila wengi wetu tunakuwa ving'ang'anizi tu na kujitia upofu wa kuangalia tofauti na hali halisi. Maisha ni simple lakini tunayacomplicate.
Muda finyu tu lakini hii mada nilitaka niirudi kuliko kandabongoman enzi za kwasakwasa

....SALAAALE!...mwenyezi mungu ashukuriwe!....

...jana kuna mtu alianzisha post hapa mwanajamiiforums bastola imemlipukia na kumuua!
nikajua lahaula wala quwwata, hapa kuna kuisaidia polisi....ile bastola niliyokuona nayo ishakulipukia, ila
lile jina la mollel haliku fit kwenye lundo la majina unayotumia, lol!

karibu tena bro,..heri ya mwaka mpya!

love is a game like any other,it depends on who emerges as the victor...dalili tunaziona lakini tunasubiri wapenzi wetu wateleze kidogo tu tuwalaumu kuwa wao ndio wamesababisha tuachane hili kuepuka gilty conscious

Hilo linakuwaje wakati wewe unayoeogopa ndiye unakuwa abused beyond limits??

Sielewi kabisa....naomba kwa hapo mnisamehe!!

Babu DC!!
 
....SALAAALE!...mwenyezi mungu ashukuriwe!....

...jana kuna mtu alianzisha post hapa mwanajamiiforums bastola imemlipukia na kumuua!
nikajua lahaula wala quwwata, hapa kuna kuisaidia polisi....ile bastola niliyokuona nayo ishakulipukia, ila
lile jina la mollel haliku fit kwenye lundo la majina unayotumia, lol!

karibu tena bro,..heri ya mwaka mpya!

hahahaha heri ya mwaka mpya moskwito, lol , nilipata PM ya rest in peace ndo maana nikaibuka kuzima uvumi. Mbona nilikujulisha bana kuwa nitapotea na nitazidi kupotea maana huu mwaka umekaa vibaya kweli kwangu aisee.

sorry shem MJ1 kwa kajiofutopik ka kusalimiana na client
 
Hahahahahahahah

Ahsante sana swahiba,

Nipo ila bado sijamaliza mning'inio wa maombolezo ya dada yetu RM....

Anyway, nimefurahi kuona kwamba bado tunaendelea kutelekeleza ahadi yetu ili tusije kuitelekeza kama kamanda wetu wa hii nji ya bongo!!

Haya basi....kwa nini wewe umfanyie mwenzio visa halafu kila siku ufikirie kuwa yeye ni punching bag tena uliyoinunua kwenye flea market au yard sales kule kwao na Mh Raisi (NN)!!!

Karibuni dinner kabla hakujazama kwenye hii mada nzito...

Babu DC!!

...hahahaha,....

mwj1 naona anashindwa tu kusoma alama za nyakati....
bila kurushana roho na kutiana wivu mtajuaje kama mnapendana?....
...hayo yote aliyoyaorodhesha ni vigezo vya kupima viwango ndani ya
mapenzi bana...

...raha kwenye taasisi hii itakujaje bila kuwekeana roho juu juu pale inapobidi?
ndoa haina litmus paper, stethoscope, au pressure monitor... ni observation tu kutokana na
mabadiliko ya sura, sauti na matendo ya ujumla...

...raha ya taasisi hii ni "kutingisha kiberiti" kisha unabembeleza.... roller coaster ride.. :A S-coffee:
 
Hey Babu DC,

Za kupotea?
I missed you.

Kaka/dada Mkuu

Ahsante Dada Mkuu......

Mbona nipo sana......ni maombolezo tu ndugu yangu....

Hapo (blue), lazima Babu akupe adhabu aisee....Unajua kama ingekuwa enzi zile za masantura...ungepata PM za kumwaga??
You need to pay for that..how can you fool Babu??

Anyway...did u see it coming??

Karibu ndizi plantain!

Babu DC!!
 
PHP:
love is a game
like any other,it depends on who emerges as the victor...dalili tunaziona lakini tunasubiri wapenzi wetu wateleze kidogo tu tuwalaumu kuwa wao ndio wamesababisha tuachane hili kuepuka gilty conscious

...indeed, yaani ukitaka kufwaudu maisha haya ya ndoa...chukulia 'umeingia' kwenye gemu tu...!!!
ukichukulia serious ati hiyo ni investment, au sijui mmeunda undugu...jua unajitafutia
kupunguza life span yako tu...

hahahaha heri ya mwaka mpya moskwito, lol , nilipata PM ya rest in peace ndo maana nikaibuka kuzima uvumi. Mbona nilikujulisha bana kuwa nitapotea na nitazidi kupotea maana huu mwaka umekaa vibaya kweli kwangu aisee.

sorry shem MJ1 kwa kajiofutopik ka kusalimiana na client

...ok, ok...nakumbuka ulinambia hayo kabla/mwezi july 2011...
pamoja kamanda...!
:poa
 
...hahahaha,....

mwj1 naona anashindwa tu kusoma alama za nyakati....
bila kurushana roho na kutiana wivu mtajuaje kama mnapendana?....
.
..hayo yote aliyoyaorodhesha ni vigezo vya kupima viwango ndani ya
mapenzi bana...

...raha kwenye taasisi hii itakujaje bila kuwekeana roho juu juu pale inapobidi?
ndoa haina litmus paper, stethoscope, au pressure monitor... ni observation tu kutokana na
mabadiliko ya sura, sauti na matendo ya ujumla...

...raha ya taasisi hii ni "kutingisha kiberiti" kisha unabembeleza.... roller coaster ride.. :A S-coffee:

Hapana swahiba,

Kama kutoana manundu usoni na kuharibu reception ni mojawapo ya kipimo cha upendo/mapenzi kwenye ndoa basi ndoa itakuwa haina maana!!

I can do anything to my sweetie ila haya hayamo kabisa....Eee Mwenyezi Mungu nisaidie!!

Kupiga, kuabuse, dharau, jeuri, dharau, cheating e.t.c
 
Ha ha ha babu bwana
hiyo blue isikutishe
ni utundu wa mjukuu
kujihami na PM

I saw it comming from day one
niliogopa sana
didn't want to believe it.
and it blew on my face
Ahsante Dada Mkuu......

Mbona nipo sana......ni maombolezo tu ndugu yangu....

Hapo (blue), lazima Babu akupe adhabu aisee....Unajua kama ingekuwa enzi zile za masantura...ungepata PM za kumwaga??
You need to pay for that..how can you fool Babu??

Anyway...did u see it coming??

Karibu ndizi plantain!

Babu DC!!
 
matatizo mengine yanasababishwa na watu kutafuta 'perfect partner'
badala ya kutafuta 'perfect partnership' mwisho ndo wanakuja kukutana na wasoyoyatarajia
 
Hapana swahiba,

Kama kutoana manundu usoni na kuharibu reception ni mojawapo ya kipimo cha upendo/mapenzi kwenye ndoa basi ndoa itakuwa haina maana!!

I can do anything to my sweetie ila haya hayamo kabisa....Eee Mwenyezi Mungu nisaidie!!

...mnh, hizo ngumi kwa mke mpaka atoke manundu tena? mambo ya aibu hayo kamanda,
ila vikofi vya makalio ruhsa bana, hataweza kuonyesha ushahidi kwa watu...
:A S-coffee:
 
...mnh, hizo ngumi kwa mke mpaka atoke manundu tena? mambo ya aibu hayo kamanda,
ila vikofi vya makalio ruhsa bana, hataweza kuonyesha ushahidi kwa watu...:A S-coffee:

Sasa hivyo navyo viko kwenye kero ya MJ1??

Kaka sasa wewe unatuchanganyia madesa!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom