Did you see that??

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
today was watching the movie called the A-team...one of the core-starring is Liam Neeson who acted on famous movie called TAKEN AND UNKNOWN.....sasa ukiiangalia hiyo movie(the A-team) mnamo 1:25:17 jamaa wanabonga kiswahili kabisa, yani walikua wanatoroka nchi kupitia airport ssa kwenye check-in officer aliekuwepo ni mbongo from zanzibar so alipoona yule mshikaji(mzungu) kashika passport ya tanzania akamuuliza kama anajua kiswahili kama kuhakikisha kweli anaenda tanzania...basi yule mzungu(one of the co-starring) akafungukaa kiswahili cha hatari basi officer wa migration akamgongea muhuri jamaa akapita.

very nice and funny movie ...go and watch it.
 
Yap yap kaka nimeiona hata kwenye American Pie kuna mojawapo wanaongea kiswahili huko katikati ya muvi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom