Did you know that

Mende akikatwa kichwa hufa baada ya siku 4 mpaka 7 na sababu ya kufa kwake ni njaa kwa kuwa anashndwa kupiga msosi
 
Alexander Graham Bell, the
inventor of the telephone,
never phoned his wife or
his mother. They were
both deaf.
 
Nyoka ni kiumbe pekee anayesikia kwa kupokea mawimbi ya sauti na mtetemo (Vibration) kupitia ulimi wake uliogawanyika na wenye tundu katikati.
 
naona watazamaji wa etv mko wengi.
leo nimeona wanasema electric eel anaeza kutoa umeme hadi 650 volts (dc I think). nimeona hii kwa documentary jamaa walimkamata wakapima, duh inatisha. kwa wale wapenzi wa yuotube vids mnaeza mshaona ile video ya electric eel akimdedisha 'gator.

 
Last edited by a moderator:
Mkuu yakweli haya?Ni kweli we jaribu utapata jibu.Huyo mdudu ana maajabu yake.Mfano anaweza kukaa wiki mbili bila kula,anaweza kukaa bila kuvuta hewa kwa dk 30 au zaid,fatilia kwenye vitabu vya kisayans utaona
 
Si kwamba huamini tu, bali mtu mfupi kuliko wote duniani ni mzee wa miaka 72 na ana urefu wa sentimita 21.5 tu. kulingana kitabu cha maajabu ya dunia cha Guiness, mtu huyo anaishi nchini Nepal, hivyo huo urefu wa Panadol mimi siukubali.
article-2106281-11EAAEDC000005DC-892_634x402.jpg
article-2106281-11EA254C000005DC-3_306x510.jpg
article-2106281-11EA24C3000005DC-947_306x510.jpg
article-2106281-11EC443A000005DC-574_634x412.jpg
Anaitwa Chandra Bahadur Dangi.
article-2106281-11EA22D0000005DC-594_634x393.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom