- Thread starter
- #141
Wewe hebu fuatilia comment zangu. Nimewaeleza huku mnakomaa na information za Wikipedia ambazo mtu yeyote anaweza andika. Acheni upoyoyo.
Kama mnataka kujifunza tutawapa elimu kwanini tunaimba huo wimbo. Siyo kuleta kenjeri na vijembe wakati nchi yenu ipo uchi na kwa vijembe tunajua kweli. Tunajua wapi yeti zenu zilipo.
Leta hoja tujadili uelimishwe.
Kenjeri ndio nini sasa? Sina mpango wowote wa kuleta kenjeri. Wenye kenjeri ni wale wanaotokwa na povu hata kusoma hawawezi. Hujajibu lolote nililokuuliza kwa kuwa wewe elimu yako ni ya kenjeri tu.