Did Songas achieve the Goal?

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
944
SongoSongo Gas-to-Electricity Project

The goal of the Songo Songo Gas to Electricity project is to develop natural gas from the Songo Songo gas field in Kilwa District to provide Tanzanians with a reliable source of low cost electricity. The project will form the basis of the development of gas industry and infrastructure in Tanzania.

Gas-to-Electicity Project

In October 1995, Ocelot Tanzania Inc. and TransCanada Pipeline Limited (TCPL Tanzania Inc.), in partnership with the Government of Tanzania (GoT), Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) and Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), set out to create a company called Songas to implement the Songo Songo Gas to Electricity Project. Songas has developed the Songo Songo gas field in Kilwa District, Lindi Region, by constructing the gas processing facilities on Songo Songo island and the pipeline network to transport natural gas to Dar es Salaam where it will be used as the principal fuel supply for five gas turbine electricity generators. The pipeline will then continue to supply the Wazo Hill Cement Plant. The project will produce reliable electricity for the national grid and also bring gas to other industrial users in Dar es Salaam.

Gas Field Development

The Songo Songo Gas to Electricity Project will serve two onshore and three offshore natural gas wells at Songo Songo Island. Natural gas from the wells is then piped to a gas plant on Songo Songo Island.

Songo Songo Gas Plant

Two 35 million cubic feet per day processing units (dehydration and refrigeration) on Songo Songo Island has been built to process the natural gas from the wells. Any hydrocarbon liquids removed will be shipped to Dar es Salaam or consumed on-site as fuel. The project has brought about an improvement in the Island's infrastructure by modernising the airstrip and wharf and providing portable water and power supply.

GAS TRANSPORTATION

After processing, the gas is be transported through a 25km 12-inch pipeline from Songosongo to Somanga Funga, and from Somanga Funga through a 207km 16-inch pipeline to Ubungo Dar es Salaam where natural gas has replaced liquid fuel as feedstock in the generation of up to 115MW of electricity for the national grid. A 16km 8-in pipe line has been extended northwards to provide natural gas to the Wazo Hill cement plant where has replaced fuel oil as feedstock in the manufacture of cement.

Project Developers

The Tanzania Ministry of Energy and Minerals is responsible for coordinating the roles of TPDC and TANESCO, as well as ensuring that the Project meets the needs of all Tanzanians. The Ministry has been the principal government negotiator on commercial arrangements and has taken the lead on financing issues. TANESCO, the national utility, owns and operates Tanzania's power generating and distribution system. TPDC is the national oil company responsible for exploration, promotion and development of oil and gas resources in the country.

The main project sponsor was AES Sirroco of the USA, a large electricity company operating worldwide. The other sponsor is Pan African Energy, formerly Ocelot International, a gas development company, with operations in several African countries. Project investors are AES, Pan African Energy, TANESCO, TPDC, CDC, TDFL, EIB and World Bank, the later two through the Government of Tanzania. Project costs are estimated at US$ 350 million. The project will be implemented by SONGAS, a local joint venture company formed by Globeleq, TANESO, TPDC and CDC. Ocelot, now Pan African Energy will operate the gas field on behalf of Globeleq.

PROJECT SCHEDULE

The project had suffered considerable delay in implementation. Financial closing was attained on 11th October 2001. Construction of the pipeline commenced in the year 2003 and was completed in may 2004. The first gas reached Dar es Salaam in July 2004. The project attained commercial operations date in July 2004.

Project benefits to Tanzanians

Meet the growing demand for electricity in Tanzania using a domestic natural resources

Reduce the country's dependence on imported oil for electric power generation

Provide an alternate, lower-cost and more reliable power source
create skilled and unskilled employment opportunities during construction and operations

Permit the use of natural gas in industry as an energy source or a chemical feedstock (e.g. fertilizer production)

Develop the infrastructure to boost exploration for oil and gas

Provide power, gas and associated economic benefits to Songo Songo island and communities along the pipeline route

Promote private investment in the energy sector and contribute to government revenue through fees, taxes and royalties

Enable the Wazo Hill cement manufacturer to use natural gas as fuel instead of imported fuel oil.

Enable Tanesco to diversify their generation options from the heavy dependence on hydroelectricity.

Songo Songo Gas-to-Electricity Project
 
Mkuu

Heading hailete maana:

Did Songa archived the Goal?

natumini ulikusudia kuandika "achieved" and not "archived"
 
lakini Songas, kama kampuni, ili-target zaidi faida. Ilikuwa jukumu la taasisi zetu zenye hisa katika kampuni hiyo kama vile TPDC kuhakikisha kuwa maleno haya yanafikiwa pamoja na njaa ya kupata faida kuwa. mathalani, tumekuwa tukiambiwa mara nyingi kuhusu mradi wa kutumia gesi kwenye magari badala ya petroli, sijui mradi huu unefikia wapi maana watu wengi nadhani wanausubiri kwa hamu sana.
 
..nafikiri Songo songo natural gas imesaidia sana ..just angalia power generation then ujiulize bila hiyo gas sijui hali ingekuwaje na huu mgao,imesave sana lakini bado naona inaweza kufanya makubwa zaidi,kwa ufupi zaidi ya 400MW za umeme ni kutokana na gas na hiyo ni zaidi ya nusu ya umeme wa nchi nzima...soma chini ingawaje ni old news lakini inaweza kukupa hali halisi kidogo!

Will abundant natural gas make life easier?

2008-06-25 09:49:07
By Bernard Mapalala

The biting global oil prices will inevitably compel Tanzania to turn to its abundant natural gas deposits, which keep on being discovered. Has Tanzania placed itself in a strong position to exploit its comparative advantage?

Will the existence of natural gas make life easier for Tanzanians? The Guardian`s Deputy Managing Editor Bernard Mapalala continues with his series on the impact of global oil prices in Tanzania. Please read on:

When Finance minister Mustafa Mkulo presented his budget speech, the most glaring question mark was why he had chosen not to allocate any money for conversion of natural gas for household use and motor vehicle requirements, or mention natural gas altogether.

The ongoing virtual silence on immediate giant plans for utilizing the energy alternative on large scale, raises fears that the government could lose control of the natural gas industry through unwillingness or presumed incapability to design and own a national gas distribution network.

The global fuel crisis, provoked by an unprecedented oil price hike, has spelt trouble to the economies of many countries around the world, including Tanzania.

The impact of the soaring prices of petroleum products has already brought hardships to millions of Tanzanians.

It has even affected strong economies like those of France, Belgium and Britain, which have hitherto been regarded as unshakeable.

European countries import oil from the Middle East, while they get their natural gas supplies from Russia, Algeria, Egypt and Norway.

A series of riots and demonstrations have rocked Europe and Asia as oil has hit record highs on world markets.

A truck driver in Brussels was recently quoted by Reuters as saying: ``The cost of petrol is so high that we have nothing left to live on. It represents 47 percent of our income.``

Here in Tanzania, Namtumbo legislator Vita Kawawa, talking about fuel and food price hikes, urged the government to take immediate measures to save the country from catastrophe.

Commenting on the same matter, Ubungo MP Charles Keenja warned of the possibility of social and economic unrest if the situation persisted.
The immediate question that comes to mind is: can Tanzania weather this economic storm?

Luckily enough, unlike many countries in Africa, Tanzania has discovered natural gas deposits in Songosongo, where operations began in July 2004, Mnazi Bay (operations began in December 2006), Mukuranga (gas deposits discovered in January 2007) and Nyuni (discovered in March, 2008).

Already, the Songo Songo gas field is supplying protected gas to power generation projects of Ubungo (191 MW) Dowans (120 MW), Aggreko (40 MW) and Wartsila (100 MW).

There are also 19 Industrial gas customers in Dar es Salaam who are connected to Songosongo gas field. These are:
1.Wazo Hill cement factory
2.Kioo Ltd
3.Alaf Group
4.Bora Tanzania Ltd
5.Karibu Textiles
6.Chinese Textiles
7.Tanzania Breweries Limited
8.Nida Textiles
9.Lakhani Textiles
10.Mukwano Industries
11. Tanzania Cigarette Company
12. Murzah 1
13. Murzah 2
14. Murzah 3
15. METL
16. Nampack
17. Yuassa Batteries
18: Serengeti Breweries
19. Namera Tixtiles

Other industrial customers who may soon be supplied with natural gas are: Wazo Hill (New Kiln, new power site), (proposed) Kinyerezi power plant 200 MW, Dar Airport area, IPTL (after conversion to utilize natural gas) 100MW and Tegeta power plant (Aggreko) 45 MW.

The above-listed 19 industrial gas customers have made huge savings after switching to the use of natural gas instead of liquid fuels.

In between July 2004 and May 2008, they have consumed more than 10bn cubic feet of Songosongo gas worth around USD 57m. Had they used petroleum liquid fuel, they would have imported more than 275m litres worth more than USD 129m, thus saving USD 71m, an equivalent of 84bn/- Tanzanian shillings.

It would have been expected that the huge savings on production cost would have resulted into lowering of price for products produced by those companies, or at least held their prices from going up.

However, there are no indications from the marketplace that this has taken place, if one takes the case of cement produced at Wazo Hill in Dar es Salaam. Wazo Hill is one of the industrial customers of Songosongo gas.

However, the prices of cement produced at Wazo Hill have not gone down since the factory management adopted natural gas as its source of energy.

Twiga Cement consumers have seen cement prices soar up to 22,000/- (retail price) per 50kg bag in Dar es Salaam.

After the government allowed the importation of cement, the retail price of cement now stands at more than 14,000/- per bag, up from around 10,000/- just two years ago.

Asked to comment as to why Twiga Cement Company has not lowered the price of cement in spite of the huge savings it is making after switching from the utilization of industrial oil to natural gas, Wazo Hill CEO Klaus Hvassing attributed the situation to wage rises and hiked tariffs.

The initial impression is that it is the investors who stand to benefit more from the use of Tanzania`s natural gas than their customers.

Much as there is a public outcry on the devastating oil prices which have sent the prices of goods skyrocketing to unbearable levels, what is currently manifested by the authorities is a business-as-usual attitude.

This could either be an error of omission or commission or both. At the benefiting end of this situation are foreign firms that are poised to monopolise the country`s natural gas market, which will eventually sell the gas at hiked prices that will be pegged at global oil prices, and those within the system who stand to gain.

Indeed, windfall profits are awaiting all and sundry who will be commissioned to build gas pipelines to supply gas to households and industrial customers.

Anybody who will need to pass gas on those pipes will have to pay high tariffs. Given the current global energy conditions, gas pipelines are going to a nationwide infrastructure in Tanzania.

A gas pipeline is a major public utility, like water pipelines or electricity infrastructure, as Tanzania now stands to embark on a major expansion of it gas distribution network, is it not high time that the proposed nationwide infrastructure was owned and managed by the government through TPDC?

Is it safe to leave such a huge national infrastructure in private hands?
With the current trend, and the government`s apparent reluctance to intervene and invest sufficiently in gas distribution through the Tanzania Petroleum Development Corporation, Tanzanian energy users should brace themselves for no respite from hiked power tariffs even when natural gas has been fully distributed around the country.

Currently, the gas pipeline from Songosongo to Dar es Salaam is owned by Songas as majority shareholder, with TPDC and other minority shareholders. Songas charges 17.5% for processing and transportation. Songas have already approached Ewura to hike the gas transportation tariffs.

The gas distribution firm of Pan African Energy, which has Purchase Sharing Agreement with TPDC, has built gas pipelines in Dar es Salaam for distribution to 19 above-stated industrial customers and a 20-year cost recovery agreement, which is renewable.

Already, such an arrangement diminishes the government`s ability to intervene in the energy sector and prevents unwarranted gas distribution tariff hikes.

We also should bear in mind that private investors in the energy sector are usually prone to computing inflated prices and enjoying huge profit margins.

Given our experience in our management of the energy sector, we should not be surprised having several `Richmondgates` when new gas contracts are signed.

Fast developing countries like China, India and Algeria have seen the need to place fuel and gas distribution infrastructure in government hands, even though they have adopted a market economy.

In Algeria, the government-owned Sonatrach is the largest Algerian company and the 11th largest oil consortium in the world.

The company, which employs approximately 120,000 workers, produces 30% of the GNP of Algeria. Sonatrach operates the largest oil field in Algeria, Hassi Messaoud, which operates over 2,400 miles (3,900 km) of crude oil pipelines in Algeria. The most important pipelines carry crude oil from the Hassi Messaoud field to export terminals.

Likewise, Russia`s state-owned natural-gas pipeline network, its so-called ``unified gas-transportation system``, includes a vast network of pipelines and compressor stations extending more than 150,000 kilometers across Russia.

As for India, these are the major oil public sector undertakings:
1. Balmer Lawrie & Co. Ltd.
2. Bharat Petroleum Corporation Ltd.
3. Biecco Lawrie Co. Ltd.
4. Bongaigaon Refinery and Petro-Chemicals Ltd.
5. Chennai Petroleum Corporation Limited
6. Cochin Refineries Ltd.
7. Engineers India Ltd.
8. Gas Authority of India Ltd.
9. Hindustan Petroleum Corporation Ltd.
10. IBP Co. Ltd.
11. Indian Oil Corporation Ltd.
12. Numaligarh Refinery Ltd.
13. Oil India Ltd
14. Oil & Natural Gas Corporation Ltd
As for China, it has three state-owned firms which manage its oil and gas industry. These are Sinopec Co. Ltd, CNPC Co. Ltd and CNOOC Co. Ltd.

In Tanzania, it is yet to become known whether the Gas Act that is currently being drafted will facilitate heavy government investment in exploration, exploitation and distribution of gas through TPDC steering role so that it can have an upper hand when partnering with other firms or securing finance.

In the final analysis, abundant natural gas supplies have to mean cheap energy supply to households and motorists, otherwise Tanzanian energy consumers won`t be able to enjoy the country`s comparative advantages.

At the moment, foreign investors are reluctant to invest in the supply of natural gas to households, because the returns are not attractive.

(On Friday: Why the government should urgently support TPDC`s 30bn/- piped compressed natural gas to 30,000 homes in Dar es Salaam and for 8,000 motorists.)

SOURCE: Guardian
 
Twende pole pole, ukilinganisha na Investment ambayo serikali ya Tanzania imefanya, jeee Return iko relative na investment?

Songa tumetumia 320 Mill USD. Na tunazalisha i guess less than 140MW kutoka kwenye huu mtambo. Jee tusingeweza kufanya better investment kwa pesa ile? Tanzania inatumia umeme wa maji wa asilimia 87 na umeme wa mafuta, gesi na taka taka nyingine kwa asilimia 13.

Ukiangalia project za karibuni kama KIHANSI project ambayo inazalisha 200MW na imetucost kiasi cha chilingi 275 million USD. Sasa tuangalia operation cost ya kati ya Songas and Kihasi, utaona ya kwamba Songa inatugharimu $0.12KWh wakati KIHANSI inatucost $0.002KWh. Sasa project ipi ina cost benefit?

Serikali yetu inataji kuongeza transparency kwenye tenda zote za kitaifa, kwani tunaoumia ni wazawa. Mradi kama Songas ulitakiwa uwe private 100% bila ya serikali kuback hata shilingi mmoja.
 
Last edited:
From Tanesco website
"Background Due to poor hydrology conditions, Tanzania experienced throughout the years 2003 up to 2006, significant drop of water inflows to hydropower dams, which resulted into significant reduction of hydro electricity generation. This phenomenon was notable in the Great Ruaha and Pangani river systems. Hydropower which was up to year 2001 contributing about 97.5% of the energy needs in the national grid system, by year 2005, the contribution of hydropower had dropped to about 50% and by mid – year 2006 to 30 percent of the national grid energy needs. To subsidise this deficit, TANESCO resorted to importing more thermal energy from IPTL and SONGAS. The cost of this imported thermal energy is so high that the Government has had to give substantial amount of subsidies to TANESCO. However, as the hydrology situation worsened in 2006, TANESCO has had no option but to institute load shedding in order to stretch the little available water in the hydropower dams for a longer period. On the other hand, the Government approved TANESCO's plans to implement short term generation projects to avoid severe energy shortages which had serious negative consequences in the national economy."

Now kama Tanesco wenyewe wanalalamika kwamba Songas ni ghali, where are the the benefits of this project?
 
Songa tumetumia 320 Mill USD. Na tunazalisha i guess less than 140MW kutoka kwenye huu mtambo. Jee tusingeweza kufanya better investment kwa pesa ile? Tanzania inatumia umeme wa maji wa asilimia 87 na umeme wa mafuta, gesi na taka taka nyingine kwa asilimia 13.

...check your facts,kwanza ujue sasa Gas inaongoza kwa kuzalisha umeme kwenye national grid na hydro sasa ni less than 50%,pili Songas ni mradi mkubwa sana wa gas sio umeme na its worthy the money serikali ilizotoa kwa sababu bila songas gas sasa hivi nafikiri ingekuwa disaster,na gas ya Songas mpaka sasa imeweza kuzalisha zaidi ya 400 MW na ina uwezo mkubwa zaidi ya huo ni swala ya mitambo tuu lakini gas ipo ya kutosha na imeweza kusaidia viwanda vingi sana kuendelea uzalishaji la sivyo vingi vingekuwa out of business bila hiyo gas,tatizo ni hao Tanesco wameshindwa kutumia hiyo gas kumaliza tatizo la umeme,mradi wa gas ya Songas ni makini na unazalisha gas ya kutosha bila matatizo...na ukumbuke Tanesco na Songos gas hawaingiliani na Tanesco ni mteja tuu wa songo gas kama makampuni mengine kama wazo cement!
 
Koba mkuu.
Naomba twenda step kwa step mzee. Tusikimbilie ushabiki tuu. Tanzania mpaka sasa inazalisha umeme wa less than 840MW, huku asilimia kubwa umeme huo ukizalishwa na miradi ya Tanesco yaani Mterea 80MW, Kidatu 204MW, Kihansi 180, Nyumba ya Mungu 8MW, Hale 22MW and New Pangani Falls 68MW. (Mwakabuta & Kyruzi UDSM ), then mwaka 1992 serikali ya Tanzania ikapitisha sheria ya IPP ( ruhusa kwa mashirika binafsi kuzalisha umeme), ndio wapo IPTL and Songas. Songas ni muungano wa kampuni ya Kiholanzi na ya Kiingereza, kufanya project nzima serikali ndio wamekopa pesa kutoka Bank ya Dunia, Bank ya Maendeleo ya Africa na Bank ya Maendeleo ya Asia.

Sasa tuiangalie Songas, kwanza Songas ni kampuni binafsi ambayo inazalisha umeme na kuwauzia Tanesco ambao wanaufua na kuusambaza. Songas inatumia gesi ya Watanzania ya songo songo na hailipii hata sumni, lakini Tanesco wanawalipa Songas kwa mwezi million za shillingi na wakati huo huo serikali ya Tanzania inadaiwa Mil 320 kutoka kwa bank za maendeleo mbali mbali kwa ajili ya mradi wa Songas. Sasa kwa nini kama Songas ni private company walihitaji serikali ya Tanzania kuwakopea? I don't understand hapa.... Then unasema songas inaweza kuzalisha 400MW umelipata wapi hilo? Na kama inaweza kufanya hivyo kwa nini tunaitaji mitambo ya Dowans?

kiwanda unachongelea ni kimoja nacho ni Wazo Cement, sasa jee hichi kiwanda kinatusaidia kulipa deni ambalo riba yake ni 21% interest?
 
Hapa kuna vitu viwili ambavyo vimechanganywa kiasi kuweza kuwachanganya wasomaji. 1. Songas kama Songas 2. Gas inayotoka songosongo gas field na mradi mzima kama umefikia malengo ama laa!

A: Tuanze na songosongo Gas;-

Kitu kimoja hapa wewe umeandika Theory badala ya Reality

''less than 840MW, huku asilimia kubwa umeme huo ukizalishwa na miradi ya Tanesco yaani Mterea 80MW, Kidatu 204MW, Kihansi 180, Nyumba ya Mungu 8MW, Hale 22MW and New Pangani Falls 68MW. (Mwakabuta & Kyruzi UDSM )''

Hizo data ulizoweka hapo ni Design capacity ya hizo Power Source, hakuna hata moja inayozalisha hicho kiwango kutokana na matatizo ya mvua na tope. Hizo za Hale ,Pangani nyingine zilishafungwa.

DATA ZA UMEME WA GAS:-

Songas inazalisha Jumla 191 MW ambazo kati ya hizi: 151 Mw inatokana na Protected Gas , na 40 Mw inatokana na Additional Gas

Wartsilla: Wanazalisha 100 MW zinatumia additional gas, na huu mtambo ni mali ya Tanesco

Protected Gas ni ile amount iliyofanya project yote iwe viable for 20 yrs from 2004 ambayo ni ile inayotumika Wazo hill Cement kwenye Kiln #1 & 2 na ile inayotumika Songas kwenye genarator #1 -5. Songas wana generator 1 - 6, #6 ipo kwenye additional gas.

Additional Gas ni ile inayotumika viwandani, Wartsila pamoja na Songas Generator #6. Hii inauzwa kwa bei tofauti na ile protected. Protected bei yake iliwekwa fixed. Lakini hizi additional inabadilika kufuatana na soko la dunia.

Kwa hiyo jumla ya Power itokanayo na Natural Gas from Songosongo Gas Field ni 291 Mw, contractual. Ukiachana hizo the so called emergency za Dowans, Aggrekko ambazo nazo zilikuwa zinazalisha zaidi ya 160 MW

Kwa hiyo katika kujibu hoja yako ya kama Songas Project imetimiza lengo, mimi nakubaliana imetimiza kwani imewezesha Sector ya Energy kupata Cheap Electricity and reliable at any time.

Duniani kote ukipanga Power Source and costs zinaanza hivi:
Start Cheapest: Hydropower, Wind Power, Natural Gas, Nucler power, Coal power
interms of operational siyo katika capital.

Hivyo Tanesco huwa wanasema Songas ni gharama wakilinganisha na hydro power ambayo ni kweli. Lakini hydro zetu siyo reliable.

Kwamba kiwanda kinachotumia Gas ni kimoja tu Wazo Hill cement siyo kweli, List uliyopewa na mchangiaji mmoja hapo juu ya viwanda 19 , sasa vimeongezeka ni 22 ndiyo sahihi.

B: Songas

''Songas inatumia gesi ya Watanzania ya songo songo na hailipii hata sumni, lakini Tanesco wanawalipa Songas kwa mwezi million za shillingi na wakati huo huo serikali ya Tanzania inadaiwa Mil 320 kutoka kwa bank za maendeleo mbali mbali kwa ajili ya mradi wa Songas''

Mmnhh hapa unapotosha jamii, kama huna data za uhakika nenda ukafanye utafiti kwanza!!!.

Songas inalipa malipo yote ya bill za gas inayotumia na Wazo hill pia wanalipa kila mwezi. Jumla ya malipo yanayolipwa kwa mauzo ya gas viwandani na power generation ni zaidi ya 17 Billion kila mwaka na hizi hukusanywa na TPDC na kupelekwa Hazina( reliable source).

Ni kweli mradi ulifadhiliwa na World Bank , World Bank alitoa pesa na kwa sababu serikali ilionekana kuwa imeshindwa kusimamia miradi na ikawa imejaa ubinafsi(e.g Kiwira coal) na rushwa waligoma kuipa pesa moja kwa moja. Wakaamua itengenezwe kampuni ingine private ndiyo isimamie mradi wa kuhakikisha gas inafika Dar. Na ndipo ikaundwa Songas. Ukikumbuka mradi ulikuwa mdomoni kwa miaka nenda rudi. Lakini kwa kuwa World Bank hawakopeshi private company , basi waliipa Serikali ya Tz hizo pesa kwa masharti kwamba na yenyewe iikopeshe Songas kwa riba kidogo. Kwa hiyo Songas anakusanya pesa na kulipa lile deni la world bank pamoja na riba kwa serikali.

N.B: Ndani ya Songas serikali kupitia TPDC na TANESCO ina share zake.
 
Last edited:
lakini Songas, kama kampuni, ili-target zaidi faida. Ilikuwa jukumu la taasisi zetu zenye hisa katika kampuni hiyo kama vile TPDC kuhakikisha kuwa maleno haya yanafikiwa pamoja na njaa ya kupata faida kuwa. mathalani, tumekuwa tukiambiwa mara nyingi kuhusu mradi wa kutumia gesi kwenye magari badala ya petroli, sijui mradi huu unefikia wapi maana watu wengi nadhani wanausubiri kwa hamu sana.

Stay tunned Mpita Njia nafuatilia kujua kulikoni huo mradi wa gas kwenye magari na households, tujue kama kuna fisadi kazuia au !!!!!!!
 
Hapa kuna vitu viwili ambavyo vimechanganywa kiasi kuweza kuwachanganya wasomaji. 1. Songas kama Songas 2. Gas inayotoka songosongo gas field na mradi mzima kama umefikia malengo ama laa!

A: Tuanze na songosongo Gas;-

Kitu kimoja hapa wewe umeandika Theory badala ya Reality

''less than 840MW, huku asilimia kubwa umeme huo ukizalishwa na miradi ya Tanesco yaani Mterea 80MW, Kidatu 204MW, Kihansi 180, Nyumba ya Mungu 8MW, Hale 22MW and New Pangani Falls 68MW. (Mwakabuta & Kyruzi UDSM )''

Hizo data ulizoweka hapo ni Design capacity ya hizo Power Source, hakuna hata moja inayozalisha hicho kiwango kutokana na matatizo ya mvua na tope. Hizo za Hale ,Pangani nyingine zilishafungwa.

DATA ZA UMEME WA GAS:-

Songas inazalisha Jumla 191 MW ambazo kati ya hizi: 151 Mw inatokana na Protected Gas , na 40 Mw inatokana na Additional Gas

Wartsilla: Wanazalisha 100 MW zinatumia additional gas, na huu mtambo ni mali ya Tanesco

Protected Gas ni ile amount iliyofanya project yote iwe viable for 20 yrs from 2004 ambayo ni ile inayotumika Wazo hill Cement kwenye Kiln #1 & 2 na ile inayotumika Songas kwenye genarator #1 -5. Songas wana generator 1 - 6, #6 ipo kwenye additional gas.

Additional Gas ni ile inayotumika viwandani, Wartsila pamoja na Songas Generator #6. Hii inauzwa kwa bei tofauti na ile protected. Protected bei yake iliwekwa fixed. Lakini hizi additional inabadilika kufuatana na soko la dunia.

Kwa hiyo jumla ya Power itokanayo na Natural Gas from Songosongo Gas Field ni 291 Mw, contractual. Ukiachana hizo the so called emergency za Dowans, Aggrekko ambazo nazo zilikuwa zinazalisha zaidi ya 160 MW

Kwa hiyo katika kujibu hoja yako ya kama Songas Project imetimiza lengo, mimi nakubaliana imetimiza kwani imewezesha Sector ya Energy kupata Cheap Electricity and reliable at any time.

Duniani kote ukipanga Power Source and costs zinaanza hivi:
Start Cheapest: Hydropower, Wind Power, Natural Gas, Nucler power, Coal power
interms of operational siyo katika capital.

Hivyo Tanesco huwa wanasema Songas ni gharama wakilinganisha na hydro power ambayo ni kweli. Lakini hydro zetu siyo reliable.

Kwamba kiwanda kinachotumia Gas ni kimoja tu Wazo Hill cement siyo kweli, List uliyopewa na mchangiaji mmoja hapo juu ya viwanda 19 , sasa vimeongezeka ni 22 ndiyo sahihi.

B: Songas

''Songas inatumia gesi ya Watanzania ya songo songo na hailipii hata sumni, lakini Tanesco wanawalipa Songas kwa mwezi million za shillingi na wakati huo huo serikali ya Tanzania inadaiwa Mil 320 kutoka kwa bank za maendeleo mbali mbali kwa ajili ya mradi wa Songas''

Mmnhh hapa unapotosha jamii, kama huna data za uhakika nenda ukafanye utafiti kwanza!!!.

Songas inalipa malipo yote ya bill za gas inayotumia na Wazo hill pia wanalipa kila mwezi. Jumla ya malipo yanayolipwa kwa mauzo ya gas viwandani na power generation ni zaidi ya 17 Billion kila mwaka na hizi hukusanywa na TPDC na kupelekwa Hazina( reliable source).

Ni kweli mradi ulifadhiliwa na World Bank , World Bank alitoa pesa na kwa sababu serikali ilionekana kuwa imeshindwa kusimamia miradi na ikawa imejaa ubinafsi(e.g Kiwira coal) na rushwa waligoma kuipa pesa moja kwa moja. Wakaamua itengenezwe kampuni ingine private ndiyo isimamie mradi wa kuhakikisha gas inafika Dar. Na ndipo ikaundwa Songas. Ukikumbuka mradi ulikuwa mdomoni kwa miaka nenda rudi. Lakini kwa kuwa World Bank hawakopeshi private company , basi waliipa Serikali ya Tz hizo pesa kwa masharti kwamba na yenyewe iikopeshe Songas kwa riba kidogo. Kwa hiyo Songas anakusanya pesa na kulipa lile deni la world bank pamoja na riba kwa serikali.

N.B: Ndani ya Songas serikali kupitia TPDC na TANESCO ina share zake.

Umeona data nilizo andika, nimecited kwamba ni data kutoka kwenye paper ya Dr Mwakabuta & Kyruzi University of Dar-es-salaam(2006).Na niliyo bainisha hapo ni capacity ya uzalishaji kama hizo sources zitazalisha under full capacity. Songas wanawalipa Serikali ya Tanzania riba ya 7% wakati sisi tunawalipa Bank ya Maendeleo ya Africa, Bank ya Maendeleo ya Asia na Bank ya Dunia riba ya wastani wa 20%, sasa hapa kama unajua Finance huoni kwamba Serikali ya Tanzania ina subsidize private project kwa wastani wa asilimia 13%.

Naomba tuangalia Cost Benefit ya huu mradi, research paper zote ambazo ziko publish zinaonyesha kwamba huu mradi ni mkanyagano kwani gharama zake ni kubwa kushinda faida. Kama una argument tofauti please present it.

Again naomba tuangalie mzalishaji wa gas hii ambae ni Songas company combination ya Kampuni ya Kingereza na Kidutch. Kampuni hizi mbili zote zinamilikiwa na serikali za nchi hizo mbili.

Kuhusu price, naomba utazame kisha utuambie ni kiasi gani tunalipia kwa KWh ukilinganisha na nchi nyingine? Naomba usisema reliable source tuambie source zako.

NB TPDC na Tanesco wana share less than 10% both of them combined.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom