Dickson, kwanini ulinitendea hivi?

Pole na hongera.
Simpendi mtu anayetoa mimba kwa sababu ya shule au wazazi, hayo angeyawaza kabla hajazini ila mimba ikitokea ni bora tu uzae ili kuepuka haya.

Kwa upande wangu ni bora uzae mtoto hata mmoja af haya mambo ya kutoa uendelee nayo baadae hapo kidogo hata utapotaka kuongeza ukikosa unaumia but sio saaana km ukiwa huna kabisa.

Nimeshuhudia dada mmoja alikuwa akipenda sana kutoa mimba na mara ya mwisho alitoa ikiwa na miezi saba hivi sasa kila anayetaka kumuoa anamwambia ashike ujauzito ndio amuoe inashindikana yupo tu anajizeekea
 
Du simulizi hii imenigusa sana, hapa nimekosa kabisa amani. Kuna msichana nimekuwa nae zaidi ya miaka 3, akiwa kidato cha tatu alipata mimba kwasababu ya hofu ya kufukuzwa shule tukashauriana kuitoa. Baada ya mwaka akiwa kidato cha 4 akanasa mimba tena, vkamtafuta dr flani akautoa tena akarudi shule, baada ya wiki 1 akanipigia cm kunijulisha kuwa tumbo bado linauma na akipima mimba kipimo chaonesha bado ipo, ikabidi turudi tena kwa dr arudie tena. Baada ya kumaliza aliendelea na maumivu ya tumbo hadi akapona. Kwa jinsi alivyoteseka mara ya mwisho nilijiapia sita mwacha, sasa yeye kaniacha.
js let her go,sio kwamba hakupendi,bt ts good for both of u,akipata ingine je?
 
js let her go,sio kwamba hakupendi,bt ts good for both of u,akipata ingine je?
Kweli mkuu, maana nikitafakari jinsi ilivyoniletea usumbufu na nikirefer familia yao hasa baba yake alivyokuwa mtata sijui ningeishia wapi. Niliweka nadhiri siwezi kumuacha ukizingatia mimba ya mwisho ilitolewa mara mbili na ikamletea usumbufu mkubwa japo ilikuwa ni ndogo ya kama mwezi hivi, na jinsi ilivyolewa tena nikapata wasiwasi huenda asije kuzaa tena lakini yeye hajui hili. sasa siku za karibuni tumepishana kidogo kawaida tu kama unavyojua kwenye mahusiano kanichunia jumla. Imeniuma lakini nimemmpigia nikamwambia asante nimekubali matokeo. Nadhani huenda Mungu ameniepusha na lawama hii siku za mbele.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom