Dickson, kwanini ulinitendea hivi?

Cha msingi mlikubaliana,yapaswa kulaumu uamuzi wako,inapendeza kuona baada ya yote hayo
bado unampenda dick,na baba mtoto/mimba je? au ni zile mimba za chupa?
FUNDISHO;
1.KUCHOLOPOA MIMBA SI JAMBO JEMA.NI UUAJI
2.INAPOBIDI, ATAFUTWE DAKTARI MTAALAMU MWENYE SIFA
3.KATIKA MAISHA USIKATE TAMAA KWA JAMBO LOLOTE,ONA SASA UNA KARIBU MIAKA 40 NDIPO GOLI LINAINGIA.
 
Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa umekosa subira, hivi hakuna lugha nzuri ambayo ungeweza kuitumia kufikisha ujumbe wako mpaka kunikashifu.....
Hii sio Novel kama ulivyotuhumu, ki kisa cha kweli ambacho kimemtokea ndugu yangu na hakupenda niweke utambulisho wake hapa, bali alitaka watu wajifunze kupitia uzoefu wake.
Kama wewe haikusaidii basi hukulazimishwa kusoma, kuna habari nyingi sana humu ambazo ungeweza kusoma pia.
nakutakia kila la heri katika maisha yako..............

Msamehe bure. Avatar yake si unaiona?

Ila Kilichonisikitisha ni kuamua kuzaa na chupa! Basi, hapo tu!
 
Msamehe bure. Avatar yake si unaiona?

Ila Kilichonisikitisha ni kuamua kuzaa na chupa! Basi, hapo tu!
ha ha ha ila avatar ya mama mia kiboko!! Hommie story ndefu bana na hangover hii sina muda wa kusoma hapo kwenye red imekuaje?
 
ha ha ha ila avatar ya mama mia kiboko!! Hommie story ndefu bana na hangover hii sina muda wa kusoma hapo kwenye red imekuaje?

Hommie kuna mahala nimesoma kuwa alipandikizwa ujauzito. Kwangu mimi kupandikizwa naona ni kama kukamuliwa na chupa.

Mitarimbo imejaa kibao watu wanataka kuitumia wengine wanakimbilia kumiminiwa mbegu. Sijui mtoto atamwita nani baba yailahi toba?

Ngoja nikazimue.
 
dah ndo life la siku izi acha tu hommie!! hapo penye blue panahusika zaidi ngoja na mm nika do the needful!
 
Hizi haditthi za shigongo naona zinahamia humu sasa!!
Umegundua hiloe? Nilivoona stori ya watoto wanacheza mpira hangover ilianza kukatika. Hii novel tamu sana.

dah ndo life la siku izi acha tu hommie!! hapo penye blue panahusika zaidi ngoja na mm nika do the needful!
Hehehe! Hakuna siku mbaya kwangu kama Jumatatu asubuhi! Ile kitu ulinambiaga unaweza kunitumia? Naona valeur inaanza kuharibu mishipa ya kumbukukumbu.
 
Msamehe bure. Avatar yake si unaiona?

Ila Kilichonisikitisha ni kuamua kuzaa na chupa! Basi, hapo tu!

Mi sijamwelewa itabidi tukae bar jioni unihadithie hii story.
Kwa hiyo hataki tena wanaume mpaka azae kwa chupa?
 
biggy na wengine nipeni ufupisho wa hii hadithi tafadhali....
 
Well ni stori ya kusikitisha, Pole lakini naungana na wote wanaosema ukurasa huo umeufunga; CHAPA MWENDO!

Naona valeur inaanza kuharibu mishipa ya kumbukukumbu.
Hii kitu nayo ina hangover kama mbuyu?
 
Hehehe! Hakuna siku mbaya kwangu kama Jumatatu asubuhi! Ile kitu ulinambiaga unaweza kunitumia? Naona valeur inaanza kuharibu mishipa ya kumbukukumbu.
ha ha ha hommie acha ile kitu balaa si uliona mwenyewe yaani nilijaza visoda counter kwa kuwagongea thanx masela!! mh bora ya valuu bana!!
 
huyu mwenzetu bado inaonyesha yupo obsessed na mume wake wa zamani. kweli alikuumiza kwa kukuacha kwa kuwa hukupata mtoto, but sielewi what you are trying to gain kwa kumpelekea ujumbe mtaliki wako wa zamani.

unamuonyesha tu kwamba bado unampenda licha ya alichokufanya na all you want is his approval
 
biggy na wengine nipeni ufupisho wa hii hadithi tafadhali....
Fidel, Kimey na Maskini_Jeuri hebu fanyeni the needful hapa. Mamushka leo kasahau mawani yake.

ha ha ha hommie acha ile kitu balaa si uliona mwenyewe yaani nilijaza visoda counter kwa kuwagongea thanx masela!! mh bora ya valuu bana!!
Mazee nilikuwa nakamata masenksi mpaka kibaba kikajaa. Hehehe! Geoff alinambia kuna valeur made in Kimara! Hiyo balaa, ukinywa chupa mbili unalewa wiki moja.
 
biggy na wengine nipeni ufupisho wa hii hadithi tafadhali....

Fidel, Kimey na Maskini_Jeuri hebu fanyeni the needful hapa. Mamushka leo kasahau mawani yake.

Mazee nilikuwa nakamata masenksi mpaka kibaba kikajaa. Hehehe! Geoff alinambia kuna valeur made in Kimara! Hiyo balaa, ukinywa chupa mbili unalewa wiki moja.
ha ha ha vp Bht nawe unahangover ka siyee? dah mi itakua ngumu maana thread yenye mistari zaidi ya minne mi siiosomi!! hiyo ya kimara noma maana haitendei haki matumizi ya pesa! lol.
 
Mpatei pole nyingi sana nduguyo, cha msingi ajaribu kufanya yafuatayo;

1. Amrudie Mungu kwa kile alichomfanyia Mungu wake; yaani mauaji ya kiumbe kisicho na hatia. Hata shetani akikuzidi nguvu, wa kwenda motoni ni wewe tu, hivyo hilo kosa sio la Dickson pekee, bali hata wewe. Atubu zambi zake.

2. Ajifunze kutoka kwa Dickson kwa maisha yake yajayo. Na hata ikiwezekana amwanike wazi na jina lake la ukweli kwani anapoficha atakuwa hajatahadharisha jamii na waharibifu kama hao.

3. Maelezo haya yanaonesha waziwazi udhaifu wa wanawake, kuwa yupo tayari kumsamehe Dickson na hata bado anampenda! Aangalie asije akaomba ushauri huku akiwa na maamuzi tayari, tutamchanganya. Kama atashindwa hili, basi akubali kuwa mke mweza na si vinginevyo.

4. Ajiandae akatoe shukrani zaka za pekee kwa hayo yote na roho ya kutokata tamaa.

Lakini, Je ujauzito alionao ni wa Dickson? Kama sivyo, siamini sana kama atakuwa na himaya tena kwake, ataambiwa nahitaji yangu na si vinginevyo.

Just work hard, and never get dissappointed.
 
Stori inasikitisha ila nawashauri dada zangu wasiwe wanakimbilia kutoa mimba afu wanakuja kujuta baadae.
 
Du simulizi hii imenigusa sana, hapa nimekosa kabisa amani. Kuna msichana nimekuwa nae zaidi ya miaka 3, akiwa kidato cha tatu alipata mimba kwasababu ya hofu ya kufukuzwa shule tukashauriana kuitoa. Baada ya mwaka akiwa kidato cha 4 akanasa mimba tena, vkamtafuta dr flani akautoa tena akarudi shule, baada ya wiki 1 akanipigia cm kunijulisha kuwa tumbo bado linauma na akipima mimba kipimo chaonesha bado ipo, ikabidi turudi tena kwa dr arudie tena. Baada ya kumaliza aliendelea na maumivu ya tumbo hadi akapona. Kwa jinsi alivyoteseka mara ya mwisho nilijiapia sita mwacha, sasa yeye kaniacha.
 
Back
Top Bottom