Diana Dabo Diff

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Uko wapi wetu mpendwa, have been long time since uwepo jamvini?
Mburahati huko au mkiolewa siku hizi mnanyang'anywa ujuzi wa kutumia internet?
 
Dabo diff yako imekongoroka, ilikuwa ni ya kichina, soon utamuona akiwa na user id mpya
 
Vibaya hivyooo.....
Una uhakika na hivyo unavyomsema mwenzio?
 
Uko wapi wetu mpendwa, have been long time since uwepo jamvini?
Mburahati huko au mkiolewa siku hizi mnanyang'anywa ujuzi wa kutumia internet?

ndio umeamua kuja kivingine, Karibu tena, lakini uwe unaikumbushia na ile
 
mimi huyo Nazjaz angepiga picha ya wima na kinaona fullbody ndio ningeamini otherwise yuleyule
 
Uko wapi wetu mpendwa, have been long time since uwepo jamvini?
Mburahati huko au mkiolewa siku hizi mnanyang'anywa ujuzi wa kutumia internet?
Nipo mpendwa nashukuru kwa kinimiss,nilikuwa na matatizo ya ndoa tumeachana na mume sasa hivi naishi na mwanamke mwenzangu hamna tena kelele wala bugudha.Wanaume ni ugonjwa wa moyo sitaki tena.
 
Nipo mpendwa nashukuru kwa kinimiss,nilikuwa na matatizo ya ndoa tumeachana na mume sasa hivi naishi na mwanamke mwenzangu hamna tena kelele wala bugudha.Wanaume ni ugonjwa wa moyo sitaki tena.

You are my role model,nilikuwa nafikiria option ya hawa wanaume....ngoja nami nitafute mdada.....:clap2::A S thumbs_down:
 
Yaani wanawake wawili ndani ya nyumba ni amani tupu hata afya imeimarika.

Nimezeeka na utoto wangu kwa ajili ya kuwatafakari hawa viumbe wazito na kulia lia ovyo,kusononeka na mengineyo......not anymore!!

Nafikiri it worth trying kuwa na mwenzangu wa jinsia yangu,i think tutaelewana sana:coffee:
 
Thanks.:clap2:

images
 
Back
Top Bottom