Diamonds are NOT forever live concert BOMUUUUUU

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,143
3,623
Hivi kwa nini mtu ukitaka kuwapa big 5 hawa wanamuziki wa nchi yetu hii ya Tanzania, mambo huwa hayaendi?
kama wanavyojitangaza? wakisema saa 3 usiku muwepo msikose kumbe ni bomuuuuuuuuuuu

shosti kanitumia ujumbe toka Dar uliingia saa sita usiku unasema shoo haijaanza, duh ningekuwepo na mie ningekuwa nimechoka pia amesema elfu 50 hajui kailipia nini...

haya nalala mie, nitasubiri kuwaonea kwenye viingilio vya chini nikijisikia, wanakoogopa kupigwa wakivhelewa kuanza shoo.

update: naongelea live show ya Diamond - Mlimani City, DSM, tarehe 30/03/2012.
 
Ukisikia UMBEA ndio huo wako na ukitaka kumjua M´MBEA ndio wewe, unaongea habari za kuambiwa na hata huyo rafiki yako yawezekana hakuwepo, kama huna uhakika wa jambo kaa kimya sio lazima uandike kitu JF:Acha kuwa mnafiki.:cool2:
 
Back
Top Bottom