Diamond Platnumz hii sasa sifa! Angalieni hi Schedule ya show zake!!

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,642
14606267_1222450161110129_5338452912698848315_n.jpg
 
ILA KIUKWELI CHIBU HAJUI LIVE SHOW HATA KIBA NAYE NILICHEKI SHOW YA MOMBASA NAYE NI OVYO OVYO TU SIJUI HAWA WASANII WANAJIRINGIA NA NINI,YANI SHOW ZAO HUKO MBELE HAZINAGA HATA HAMSHA HAMSHA WATU WANAKAA TU WANAWAKODOLEA MACHO HATA HAWACHEZI NAO
 
Ww unaejua vp mpk sasa una tuzo ngapi?za live shows/unapesa kumzidi yy. Tafakali
 
Inabidi daimond akienda kuimba show za nje aende na Raymond au harmonize ili nao wapate uzoefu stejini mfano akiimba nyimbo ya salome basi na rayvanny awepo pia kwenye steji waiimbe wote. Itasaidia sana kutoa uzoefu na kuwakuza zaidi wasanii wengine wcb kujulikana na kuperform kwenye majukwaa ya kimataifa
 
Kwaiy we ulitaka awe na show mbil kwa mwaka ili mseme co msanii wa kimataifa!!!!!! We choko kwel tafta schedule ya show za wizkid, chris b, uone ni vp inakuw alf nyie ndo hamjui mzk mnatusumbua tu
 
Wee jamaa bhana kwani uwezi ku comment bila kutukana? mim nimeleta ya mnyama simba Diamond kwanini na wew usilete ya hao wizy kid?
 
ILA KIUKWELI CHIBU HAJUI LIVE SHOW HATA KIBA NAYE NILICHEKI SHOW YA MOMBASA NAYE NI OVYO OVYO TU SIJUI HAWA WASANII WANAJIRINGIA NA NINI,YANI SHOW ZAO HUKO MBELE HAZINAGA HATA HAMSHA HAMSHA WATU WANAKAA TU WANAWAKODOLEA MACHO HATA HAWACHEZI NAO
wewe wasema, asingeitwa kote huko!
 
Back
Top Bottom