Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,450
12,316
Huu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanaomtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote".

Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa na kuiwakilisha Tanzania kimuziki basi mnakaribishwa hapa mje mtoe maoni yenu kwa management na team Diamond kwa ujumla wapi wanakosea wapi waongeze juhudi wapi wajirekebishe ili kijana aendelee kuwa "The baddest musician" in Tanzania na East Africa kwa ujumla.

Kukosoa pia ni ruksa kwani no body is perfect.

Karibuni sana wadau.
 
Mimi ni mmoja wa watu wanao penda kazi za Diamond!
Namshauri ajifunze kuimba bila kutegemea CD ! Diamond ana uwezo wa kutumia band kama ataamua kuanza kufanya zoezi la kutumia band na kuimba live music!

Kuliko kuwekeza kwenye msafara mrefu kila anapo kwenda ni bora akawekeza kwenye band na akawa anaimba live kuliko kutegemea CD!

Diamond pia ana hitaji msemaji wake maana hana msemaji!
 
Kweli wasanii wengi wa bongo wavivu!!

Nadhani Fa amewahi kupaform na njenje live
 
Back
Top Bottom