Picha: Nyumba mpya ya Diamond ya South Africa

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Kupitia ukurusa wake wa instagram, mwanamuziki diamond platnums amepost mjengo wake mpya uliopo south Africa, huku akimpongeza mzazi mwenzie (mama tiffah) kwenye siku yake ya kuzaliwa
1474579955467.jpg
1474579961602.jpg
 
Mi huwa napenda kila msanii afanikiwe , ilitakiwa wasanii wengi wa bongo wawe wana nyumba zao, domo ni kujituma kwake tuu kunamfanya apate hivo vitu.

Inatakiwa pia wasanii wengine wajifunze pamoja na sheria zetu za sanaa kuwa mbovu, mtu uki hustle inalipa, sasa mtu ana pata hela anaishia kula ngada tuu, na madem yaani hapo unakuta ka hit wimbo mmoja tuu.
 
Hivi kwanini wanaume huwapa wake au wachumba vitu vya thamani kuliko wazazi wao,hapo inakuwaje
Sio wrote, mwanamke kama zari Ana haki ya kupata kwa ajili ya mtoto(tiffah) pamoja na anayekuja, hata kama hawajaoana bado watoto wana haki na Mali za baba yao upoo? Na mama atawasimamia watoto wake mpaka wafikishe umri wa miaka 18 ndo watoto wanakabidhiwa Mali zao, hapana chezeya zari the bosslady
 
Kwa hiyo diamond anamaanisha kuwa ivan hana nyumba na pale ile nyumba zari alikua kapanga tu kumbe hehehe katupa siri tulikua hatuijui,,,yaan ivana na mapesa yote yale hana nyumba kweli kua na nyumba ni kipajimi nasubiri mapigo ya ivana nyumba atakayodondosha np (natabiri tu)
 
Back
Top Bottom